kwakua unataka kuamia karibuni sio mbaya ungekuwa na subra ukifika utaweza kuona fursa unazoweza kufanya sababu fursa anayeweza kuona mtu mwingine ni tofauti na ww utakazoziona sababu picha inaweza kuwa moja lkn mtazamo tofauti!
Aisee kwakweli Moshi ni pagumu kwasababu haina customers wengi sana wa biashara yoyote labda uuze pombe aina zote in December, Pia mji ni mdg na umeshakabwa vilivyo
Kingine kupata tu hata kiamba cha kujenga nyumba ya kuishi au hata ya kuku ni vigumu sana
Mahali ulipo furusa huja hapo hapo na kuondoka kama hukuiona, kisha huja furusa nyingine nayo huondoka kama hukuiona, kama umeiona ikamate utaona maajabu yake.
Moshi haiwezi kuwa na mzunguko wa hela kwa sababu moshi wanaofanya biashara ni wazee wa kichaga tena wale wa miaka toka 80yr.
Moshi hawauzi mashamba kama kwingine.
Wahindi nao wamekimbia wamekimbilia dar es slaam na Arusha.