Moshi: Mzee wa miaka 70 akatwa uume

Juzijuzi tu walikua wanapigwa mawe na mtu hawamuoni wachaga wanataka kushindikana.
 
Ila waganga wa kienyeji sio watu wazuri.
Ukute wameambiwa wapeleke uume wa kizee ili watajirike.
Katika watu ninaowaogopa sana,ni watu wanao aamini kwenye ushirikina, maana wao wakiaambiwa kitu chochote kile na mganga wao,basi nao kweli wanatimiza, sometimes mganga huwa anawapa mashariti magumu ili waogope watowe pesa kwa mganga, lakini wengine hawatowi pesa, wanatimiza wenyewe hayo mashariti ya kukata sehemu za Siri za wazee!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano Mtu Kama Mimi ukinipa shariti la kumzulu Binaadamu mwenzangu, nitakuambia siwezi,bora nikupe mshiko wwe umalize kila kitu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano Mtu Kama Mimi ukinipa shariti la kumzulu Binaadamu mwenzangu, nitakuambia siwezi,bora nikupe mshiko wwe umalize kila kitu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo una tofauti gani na mtoa masharti? Unamaanisha upo tayari binadamu mwenzako kwasabqbu zako binafsi?
Haijalishi kama umedhuru kwa mikono yako au umefanikisha madhara kwa kuwezesha iwe kifedha au kiridhaa, unachukuliwa ni mwenye kudhuru tu na hata hukumu yenu kisheria ni moja.
 
Na maanisha kama ningekua mtu wa kuaamini kwenye ushirikina, mashariti magumu Kama ya kuleta viungo au damu ya Binaadamu nisingeweza kuyatimiza, ndiyo maana nikasema kuna watu wao wakipewa mashariti magumu na mganga wao wanaenda timiza kweli, wakati lengo la mganga lilikua kuwatisha ili watowe pesa za kufanyiwa hayo mashariti magumu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hela kama hizo unamuachia mother alafu anadakwa utarudi au unazidi kutokomea?
 
sasa miaka sabini huwa bado wanataka utelezi au mshedede unabaki na kazi moja ya kupitisha mkojo pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…