Jordan jacob Member Joined May 28, 2016 Posts 26 Reaction score 4 Sep 26, 2016 #1 Habari zenu wadau nina gari yangu Toyota dayna ina engine 13B(diesel)huwa inatoa moshi wa blue asubuhi na ikitembea unakata ila ikisimama tena kipindi ipo idling unauona kwa mbali,nn tatzo wakuu
Habari zenu wadau nina gari yangu Toyota dayna ina engine 13B(diesel)huwa inatoa moshi wa blue asubuhi na ikitembea unakata ila ikisimama tena kipindi ipo idling unauona kwa mbali,nn tatzo wakuu
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Sep 27, 2016 #2 Piston ring zimeanza kuisha, zinapandisha oil