Umasikini ni mbaya hasikwambie mtu, umasikini ni tusi, umasikini ni aibuWatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Yaani mimi hawa wahubiri wakamata fursa ndo hawanipati kabisa. Ila wanawapata sana watu wengi. Too sad. Elimu inahitajika.Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.
Huyo jamaa post #12 akija PM na mimi nataka kujua amekuambia nini.Huyo mwamposa hana tofauti na bashite anawauzia mafuta ya mawese,hizo roho za marehemu zitamtafuna huyo tapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchagani wajinga ni wengi sana....... Wewe huoni wanavyoburuzwa na Chadema!Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Unyonyaji kwa jina la siasa katika Tanzania umeungana na ule wa jina la dini.Huyo mchungaji hata hakamatwi? Kama hayupo kizuizini mpaka sasa basi serikali imeoza, ikafukiwe tu tuendelee na maisha yetu.