Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka Africa ya kusini, na kwamba Makocha kadhaa wamehudhuria, wakiwemo Ibenge na Cisse wa Senegal
Pia Rais wa Yanga ameonekana kujichomeka kwenye hafla hiyo, Japo hakualikwa, Almanusura azuiliwe mlangoni, Shukrani kwa Viongozi wa Kaizer Chiefs walioingilia kati kuokoa jahazi