Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwanaume kuwa na wivu hii nini maana yake?Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka Africa ya kusini, na kwamba Makocha kadhaa wamehudhuria, wakiwemo Ibenge na Cisse wa Senegal
Pia Rais wa Yanga ameonekana kujichomeka kwenye hafla hiyo, Japo hakualikwa, Almanusura azuiliwe mlangoni, Shukrani kwa Viongozi wa Kaizer Chiefs walioingilia kati kuokoa jahazi
Mijezi ya kijani ya nini kwenye hafla za Watu bhana?
Kinachokusumbuwa ni wivu wa kipuuzi, angevaa Mbowe ungempamba hapa Kamanda amependeza.Mijezi ya kijani ya nini kwenye hafla za Watu bhana?
Tusilete siasa kwenye Jukwaa la michezo, hiyo si sawa, badala ya Mbowe mtaje MangunguKinachokusumbuwa ni wivu wa kipuuzi, angevaa Mbowe ungempamba hapa Kamanda amependeza.
Acha huu ujinga unakushusha sana.
Akitajwa Mbowe tu ni kama umeshikwa makalio!!Tusilete siasa kwenye Jukwaa la michezo, hiyo si sawa, badala ya Mbowe mtaje Mangungu
Si kweli, Sasa kama umeamua kunishambulia kwa sababu ya visasi vya kisiasa basi endeleaAkitajwa Mbowe tu ni kama umeshikwa makalio!!
Mkuu mleta mada fuata huu ushauri,..toka nianze kusoma post zako za michezo huwa natokea kutoamini kuhusu siasa zako humu ndani.Kinachokusumbuwa ni wivu wa kipuuzi, angevaa Mbowe ungempamba hapa Kamanda amependeza.
Acha huu ujinga unakushusha sana.
Kimsingi kwenye jukwaa hili mweupe sana angebaki kuwa msomaji tu.Mkuu mleta mada fuata huu ushauri,..toka nianze kusoma post zako za michezo huwa natokea kutoamini kuhusu siasa zako humu ndani.
Kama muelewa ataelewa.Kimsingi kwenye jukwaa hili mweupe sana angebaki kuwa msomaji tu.
Hivi kwanini Wahafidhina mnataka kunipangia majukwaa, Huoni kama mnafanya Udikteta?Kama muelewa ataelewa.
Hivi huku kwenye michezo kuna uchambuzi gani wa kufanya muitane vikao kunizuia?Kimsingi kwenye jukwaa hili mweupe sana angebaki kuwa msomaji tu.
Oya, nyie Wase... msipangie watu vitu vya kupost. We kama nani yaani?Kimsingi kwenye jukwaa hili mweupe sana angebaki kuwa msomaji tu.
Ni moja ya waandika maandazi humuMkuu mleta mada fuata huu ushauri,..toka nianze kusoma post zako za michezo huwa natokea kutoamini kuhusu siasa zako humu ndani.
Naonaga kote tu ni mweupeKimsingi kwenye jukwaa hili mweupe sana angebaki kuwa msomaji tu.
Ushaingilia ugomvi usiokuhusu sasa jiandae kwa mapambano, Yaani Wajinga Wachache mnakusanyana na kuamua kunipangia majukwaa hapa jf kisa siasa! sasa nahamia rasmi jukwaa hiliNaonaga kote tu ni mweupe
Toa taarifa Mkuu acha unazi mtu anajichomekaje kwenye hafla ya watu mbona SA wabongo wapo kibao hawajaenda ondoa mambo ya kishabiki kwenye taarifa muhimu hauoni ni jambo jema kwa Mtanzania mwenzio tena junk tu kuwa maeneo hayo...Ushaingilia ugomvi usiokuhusu sasa jiandae kwa mapambano, Yaani Wajinga Wachache mnakusanyana na kuamua kunipangia majukwaa hapa jf kisa siasa! sasa nahamia rasmi jukwaa hili
Ukicheka na Mbwa iko siku atakufuata msikitini
Matajiri wanatafuta connection, maskini wanajifanya jeuri. Ile kauli ya mwenye nacho huongezewa ndiyo hutimia hapa.View attachment 3052788
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka Africa ya kusini, na kwamba Makocha kadhaa wamehudhuria, wakiwemo Ibenge na Cisse wa Senegal
Pia Rais wa Yanga ameonekana kujichomeka kwenye hafla hiyo, Japo hakualikwa, Almanusura azuiliwe mlangoni, Shukrani kwa Viongozi wa Kaizer Chiefs walioingilia kati kuokoa jahazi
View attachment 3052786View attachment 3052787
Una shida ya akili si bure, Mbowe anaingiaje hapa!? Au alikuzalisha akakutelekeza?Kinachokusumbuwa ni wivu wa kipuuzi, angevaa Mbowe ungempamba hapa Kamanda amependeza.
Acha huu ujinga unakushusha sana.