MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Category zinazoshindaniwa

Mandhari saaafi ya ukumbi

Kocha na baadhi ya wanandinga wakiwa wamewaka

Kijana mdogo MK14 so clean so fresh

Tukio hili lipo mubashara Azam TV
Tayari mgeni rasmi Mh.Spika Job Ndugai ameingia na shughuli zimeanza rasmi. Tukio limefana hakuna mfano

Updates
Mo Dewji agusia usajili Simba Sc

Mohamed Dewji ametoa neno kuhusu mipango ya usajili ndani ya timu hiyo na kusisitiza kuwa bajeti ya usajili msimu huu itakuwa mara mbili ya ile ya msimu uliopita.

Mo Dewji amezungumza hayo muda mfupi kabla ya kutolewa kwa Tuzo za Mo (MO Simba Awards 2019) zinazofanyika leo kwenye Hotel ya Hyatt Jijini Dar es Salaam.

Amesema mipango waliyonayo kwanza ni kuhakikisha wachezaji wote wazuri wanaendelea kubaki ndani ya Simba na kisha kusajili wachezaji wengine wapya wenye uwezo huku akisisitiza kuwa hadi sasa bado hawajaanza mchakato wowote wa usajili likiwemo suala la Nahodha wa Yanga Ibrahim Ajibu ambaye anahusishwa kujiunga na timu hiyo.

Updates
1. Tuzo ya golikipa bora amechukua Aishi Manula
2. Tuzo ya beki bora amechukua Erasto Nyoni
 
Meddie Kagere, James Kotei na Kwasi walipaswa kuvaa soksi ili kuwa maridadi zaidi.

Wataalamu wa fashion au usukuma wangu uko nyuma ya wakati?
 
Ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mohamed Dewji ametoa neno kuhusu mipango ya usajili ndani ya timu hiyo na kusisitiza kuwa bajeti ya usajili msimu huu itakuwa mara mbiliya ile ya msimu uliopita.

Mo Dewji amezungumza hayo muda mfupi kabla ya kutolewa kwa Tuzo za Mo (MO Simba Awards 2019) zinazofanyika leo kwenye Hotel ya Hyatt Jijini Dar es Salaam.

Amesema mipango waliyonayo kwanza ni kuhakikisha wachezaji wote wazuri wanaendelea kubaki ndani ya Simba na kisha kusajili wachezaji wengine wapya wenye uwezo huku akisisitiza kuwa hadi sasa bado hawajaanza mchakato wowote wa usajili likiwemo suala la Nahodha wa Yanga Ibrahim Ajibu ambaye anahusishwa kujiunga na timu hiyo.
 
Tuzo ya golikipa bora imekwenda kwa Tanzania One Aishi Manula
 
Meddie Kagere, James Kotei na Kwasi walipaswa kuvaa soksi ili kuwa maridadi zaidi.

Wataalamu wa fashion au usukuma wangu uko nyuma ya wakati?
Hapo wangeweka sox wangeharibu swagg hiyo mikato ya bila Sox ndo pahala pake
 
Hapo wangeweka sox wangeharibu swagg hiyo mikato ya bila Sox ndo pahala pake
Angalia waliovaa soksi na hawa ambao hawajavaa uone nani kapendeza.

Mcheki Zana, na Gyan uone, ndiyo ni fashion ila inategemea na mguu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…