Mosomo ya masters degree

Diplopoda

Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
45
Reaction score
42
Habari Nina diploma ya ualimu wa masomo ya chemistry na biology nilie ajiriwa na nilipata GPA 4.9 upper first class je Nina weza kusoma masters degree na ni chuo gan hapa Tanzania kinaweza nichuakua naombeni msaada wenu
 
Habari za mda huu wadau Ninaomba msaada.Nilimaliza form six CBG na kupata div three chemistry B,biology C na geography C hivyo nikaamua kwenda kusoma diploma ya ualimu na nikafanikiwa kumaliza na kupata GPA 4.9 ya CB at gorvernment college na kuajiriwa sasa Nina miaka miwili kazini hivyo naitaji kurudi kusoma ila nimeshauliwa nikasome masters degree je ninaweza kusoma kwa sifa hizi na kama inawezekana ni chuo gani naweza kwenda naomba kusaidiwa
 
Mfumo wa upangaji matokeo ya kidato cha sita ulibadilika? Kwa alama ulizopata wewe ni sawa na daraja la kwanza na nukta nane (Division 1.8).

Kuhusu kuendelea na elimu ya umahiri kwa nini usiwasiliane na vyuo husika unavyotaka kwenda kusoma? Wao watakupa muongozo wa moja kwa moja kwa urahisi zaidi, tumia tovuti zao.
 
Sijaelewa, una diploma na unataka ukasome masters!?

Kama ndio hivyo, naomba unitoe tongotongo na mimi, kwamba inawezekana vipi mtu asome Masters kutokea diploma bila kupitia degree!?
 
Sijaelewa, una diploma na unataka ukasome masters!?

Kama ndio hivyo, naomba unitoe tongotongo na mimi, kwamba inawezekana vipi mtu asome Masters kutokea diploma bila kupitia degree!?
Inawezakana. Moja ya sifa ya kusoma shahada ya umahiri wanaangalia wasifu wa muombaji vyuo vyote ulimwenguni kuanzia Ivy league (Harvard, Brown, Stanford) mpaka huku mchangani kama Cape Town (UCT), Dar es Salaam (Udsm), Makerere au Nairobi.

Kuna njia za aina mbili ili uweze kusoma shahada ya umahiri;
  • Uwe na shahada ya uangavu au awali. Au
  • Uwe na uzoefu na uwezo mkubwa sana wa hicho kitu unachotaka kuomba hapa hata bila kuwa na shahada ya awali utakubaliwa. Hii ni njia ngumu sana. Mf. Bill Gates, Evan Spiegel, Mark Zuckerberg hawakumaliza shahada ya awali ila wakiomba kusoma elimu ya umahiri au uzamivu (Ph.D) hakuna chuo kinaweza kuwakataa. (Hapa wasifu wako ndio unatumika)
 
Mkuu kiukweli nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri na wenye kujenga
 
Mkuu kwa upande wangu napenda sana fani yangu ya kufundisha hata masters naitaji kusoma Masters of Education
 
Sijaelewa, una diploma na unataka ukasome masters!?

Kama ndio hivyo, naomba unitoe tongotongo na mimi, kwamba inawezekana vipi mtu asome Masters kutokea diploma bila kupitia degree!?

Kwa ufaulu huo angeweza kusoma hata MD kwenye private institute. Nashangaa kuona anatudanganya kuwa amesoma diploma ya education mara anataka kwenda masters, uongo mwingi.
 
Kwa ufaulu huo angeweza kusoma hata MD kwenye private institute. Nashangaa kuona anatudanganya kuwa amesoma diploma ya education mara anataka kwenda masters, uongo mwingi.
Mtu akisema ukweli unafikiri uongo je akisema uongo utakilia nn ukweli au wakuu huo ndio ukweli wangu mwenye kunisaidia mawazo namuomba sana
 
Kazi ina endelea, tuendelee kuchapa kazi
 
Kwa ufaulu huo angeweza kusoma hata MD kwenye private institute. Nashangaa kuona anatudanganya kuwa amesoma diploma ya education mara anataka kwenda masters, uongo mwingi.
Pia sikupenda kwenda huko napenda kufundisha sana maishani mwangu nakuomba sana ushauri wako
 
Kaka una future gani? Kufundisha?? au kufanya kazi zingine???

Kama unataka kufundisha Sikushauri kupitia mfumo wa Diploma > Post graduate diploma > Masters

Pitia Degree kisha masters

Ila kama unataka kufanya kazi nyingine ni sawa.

Itakusumbua sana kupata kazi ya kufundisha kwa level ya masters wakati huna first degree.

Na kwa heshima yako na Taaluma yako nafuu uksoma degree. Degree ni level ua elimu muhimu sana
 
Nashukuru kwa ushauri wako
 
Hivi GPA za certificate na diploma si hua zinaishia 4.0? As in 4 ndio kubwa kuliko zote 👀
 
Inawezakana. Moja ya sifa ya kusoma shahada ya umahiri wanaangalia wasifu wa muombaji vyuo vyote ulimwenguni kuanzia Ivy league (Harvard, Brown, Stanford) mpaka huku mchangani kama Cape Town (UCT), Dar es Salaam (Udsm), Makerere au Nairobi.
Kujiendeleza ni kitu muhimu. Kwa mfumo wetu wa Tanzania kurua toka (ordinary) Diploma kwenda Masters ni kitu kigumu sana wala sijapata mfano wowote wa hilo jambo. Zamani tulikuwa na Higher Diploma ambayo iliwaruhusu watu kwenda Masters moja kwa moja. Hivyo basi itakubidi utafute na kupata first degree kabla ya Masters. All the best.
 
Sijawahi sikia mtu katoka diploma akaenda kusomea masters atleast kwa bongo.

Ila kama una nia ya kufundisha vyuo vikuu nenda degree(uhakikishe unapata atleast 3.8gpa) then uunge masters (na master upate atleast 4.0gpa) all the way to PhD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…