MOSSAD: "A" "BE" na "CHE" ya mashetani wenye ithibati ya mauaji

Kwenye uwanja wa mapambano, KIDON hutumia jina la tatu (third name), na muda mwingine hata jina la nne ama utambulisho wa tano kabisa.
Mossad ni wazuri sana kwa mauaji ila kwenye 'intelligence gathering' hawawezi hata kuwafikia MI6 achilia mbali CIA kwa kuwa hawana vyanzo na rasilimali nyingi za kuweza kupata na kukusanya taarifa.

Isitoshe bado Israel wanaitegemea Sana Marekani kupitia CIA kupata taarifa maana Marekani ana vyanzo na rasilimali nyingi za kukusanya taarifa popote duniani.

Tukio la 7/10/2023 na kushindwa kujua mateka walipo na viongozi wa Hamas walipo inaonyesha Mossad ilikuzwa mno kupita uhalisia.

T14 Armata
 
Sio kila mission inakuwa successful, failure moja ya Mossad haimaanishi ni wadhaifu. Wamefanya missions nyingi uko South America, Syria, Egypt, Iran, Germany na Middle East nzima. Wamefanikiwa pakubwa sana kufanya neutralization ya maadui.

Hata hao MI6 na CIA unaowasema bado hawafanikiwi kila kitu. CIA ilitumia miaka 10 kumtafuta Osama bin Laden, Israel haijawahi tumia miaka yote hiyo kumtafuta number one person on most wanted list. Ukiingia kwenye most wanted list ya Mossad huchukui miaka.

Sheikh Ahmed Yassin alipoongoza Hamas wa Gaza kufanya shambulizi la kigaidi kwenye bandari ya Israel, aliuwawa wiki moja baadae mwaka 2004. Alikoswa mara moja mwaka 2003, hapo Hamas bado haina shida kivile.

Mwezi uliofuata Israel wakamuua kiongozi wa Hamas ukanda wa Gaza, Abdel Aziz al-Rantisi. Huyu alishika madaraka baada ya kuuwawa kwa Sheikh Yassin.

Hao viongozi wa Hamas as long as Israel imewaweka kwenye most wanted list hawana maisha marefu.

Na sio kuua tu. Israel ilijuaje kwamba Waarabu mwaka 1967 wanataka kuivamia ikawawahi kabla? Au 1972 Israel ilijuaje a day before wakati ilikuwa ni siri ya Rais Assad na Rais Anwar Sadat. Mpwa kama sio binamu wa Sadat ndio alitoa tetesi, tena siri ilitolewa kwa kupanga safari ya dharula siku hiyohiyo kuonana na mkuu wa Mossad wakiwa Uingereza.

Mambo ya magaidi hayana projections. Watu wameambiwa wajiandae kufa muda wowote watapewa thawabu, sasa wanajiandaa nini. Hata ukiwapa mafunzo leo kesho ukawaambia jilipue wanaenda. Hapo Mossad wachunguze kichwani mwako? Vita ya nchi haipangwi na mtu mmoja ila tukio la kigaidi au uvamizi unaweza pangwa na sheikh mmoja au mkuu mmoja akiamka vizuri anasema leo tunavamia wanaenda. Hapo Mossad achunguze mtu kichwani anachowaza? Unadhani wale Hamas kuna aliyewaambia mapema na kuwapa tarehe?

Na lini ukaona Israel inaanzisha vita bila kuchokozwa, assume Israel ingeingia Gaza bila kushambuliwa kelele zingekuwaje. Kama hapa hivi imeshambuliwa wakafa raia 1,400 inajibu watu wanalalamika, je ingekuwa Israel haijaguswa ikaenda kuwatoa magaidi Gaza?
 
Wamefanikiwa pakubwa sana kufanya neutralization ya maadui.
Hili wanaliweza vizuri tu ila kukusanya taarifa bado sio wazuri sana.

Mossad wana uwezo wa kukusanya taarifa kwa majirani zao tu zaidi sababu ya rasilimali walizonazo.

CIA wana rasilimali watu na fedha za kutosha kukusanya taarifa popote duniani na Israel hawana hilo.
 
Kwahiyo uwezo wa mtu mweusi unaishia kuwaoshea vyombo watu weupe, halafu bado unasema bila mtu mweusi mtu mweupe hana lolote.

Hayo ni matumizi mabaya ya akili
 
.
 
Duh
 
Nimesoma siku nzima hii aya.

Israel aisee wapo mbele sana kulinda raia wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…