Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote atakayemrejesha mateka kutoka Gaza.
Kwa maaan hiyo jeshi limeshindwa, Mossad, wameshindwa, Marekani na Ulaya wameshindwa.
Sasa wanawaomba wale wanaowapiga mabomu na kuuwa watoto wao leo hii wanataka wawasadie kuwapa pesa wawaonyeshe walipo mateka watawapa pesa.
Hamas, walisema kweli kuwa hata mfanye nini hamuwezi kuwapata mateka wenu.