Mossad iliajiri afisa Usalama wa kikosi maalumu cha Jeshi la Iran RGC kutega bomu chumbani mwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh

Mossad iliajiri afisa Usalama wa kikosi maalumu cha Jeshi la Iran RGC kutega bomu chumbani mwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Breaking News ni rasmi kuwa Mossad ilimuajiri afisa Usalama wa kikosi maalum


Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya kabisa za muda huu

Aliyetega mabomu chumbani kwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh wa hatimaye kupelekea kifo alikuwa ni afisa Usalama wa Jeshi la Iran aliyepewa kazi hiyo maalumu na Mossad

Afisa huyo kutoka kikosi hicho mastufu cha IRGC alipanga kumuua haniyeh wakati wa maziko ya Rais wa Iran aliyefariki Kwa ajali ya helicopter Ebrahim Raisi

Mpango huo uliahirishwa wakihofia wahanga kuwa wengi na hivyo umekuja kutekelezwa kikamilifu majuzi

Alitega mabomu matatu akaondoka zake nje ya nchi na baadaye mabomu hayo yalilipuliwaa kutokea mbali

Taarifa kamili hapo chini:


Mossad hired IRGC security agents to plant explosives that killed Haniyeh

The Mossad enlisted Iranian security agents to plant explosives in the Tehran guesthouse where Hamas chief Ismail Haniyeh was staying, according to a report in the Telegraph.

The report says the initial plan called for assassinating Haniyeh when visited Tehran in May to attend the funeral of president Ebrahim Raisi, but two Iranian officials tell the newspaper the operation was called off due to the large number of people in the building and seeming high possibility of failure.

The British daily says the agents nevertheless went ahead and planted explosives in three rooms at the compound, and later left Iran. They reportedly detonated the bombs from abroad.

“They are now certain that Mossad hired agents from the Ansar al-Mahdi security unit,” an official in the Islamic Revolutionary Guard Corps tells the newspaper, referring to a unit tasked with protecting senior officials.

Another IRGC official says: “It is a humiliation for Iran and a huge security breach.”

“It’s still a question for everyone how this happened, I can’t understand it. There must be something higher in the hierarchy that no one knows about,” the official adds.

Pia soma > Iran yakamata maofisa wakuu wa idara yake ya ujasusi pamoja na Jeshi la ulinzi kwa kuisaidia Mossad kufanikisha mauji ya Ismail Haniyeh
 
Itoshe tu kusema Iran imehusika moja kwa moja kumuua kiongozi mkuu wa Hamas. Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote wa wazi na uhakika namna mauaji yake yalivyopangwa na kutekelezwa huku yakihusisha Israel.
Kuna ukweli hapa , mpaka sasa miruzi ni mingi sana
 
Uwongo mkubwa hakuna bomu lililotegwa nyie mnasikiliza vyombo vya Western sisi tunasikiliza waliokuwa katika jengo hilo. Wamarekani ni waongo na waliochonga huo mchongo ni maofisa wa wamarekani na ilipigwa kutokea nje sio ndani
 
wanatapatapa, hadi leo hawajui ilikuwa drone, ilitumwa toka iraq israel au mulemule and they didn't detect it, mara wanakuja wanaguess kwamba mtu aliajiriwa kutega vilipuzi, kesho watakuja na kingine. hii yote ni kwasababu mifumo yao ya kiulinzi haifanyi kazi, hata vita ikianza leo au kesho (kama walivyopanga) awali israel ata umia kwasababu makombora yatarushwa mengi, ila baadaye kwasababu ya ubovu wa mifumo yao, watapigwa kama ngoma.
 
So iran security forces ni weak mpaka mossad wanajipenyeza kwao?
Credible source ya taarifa yako ni ipi? Maana kila mtu anasema lake
 
Watu mnashangaa kwa sababu mmeanza kufuatilia haya mambo majuzi tu baada ya wamarekani kuleta hii mitandao.

Mauaji kama haya mbona Mossad wameyafanya mara nyingi huko nyuma dhidi ya magaidi wa kipalestina.

Kulikuwa na magaidi wakubwa wa kipalestina kama akina Abu Nidal, Abu Jihad, Abu Abbas, Sheikh Yassin na wengine wengi ambao walikuwa ni hatari kushinda hawa kina Haniyeh na wote Mossad waliwauwa kwa mbinu kama hizo sema tu wengi humu enzi hizo mlikuwa hamjazaliwa na wengine mlikuwa bado ni watoto wadogo.
 
Watu mnashangaa kwa sababu mmeanza kufuatilia haya mambo majuzi tu baada ya wamarekani kuleta hii mitandao.

Mauaji kama haya mbona Mossad wameyafanya mara nyingi huko nyuma dhidi ya magaidi wa kipalestina.

Kulikuwa na magaidi wakubwa wa kipalestina kama akina Abu Nidal, Abu Jihad, Abu Abbas, Sheikh Yassin na wengine wengi ambao walikuwa ni hatari kushinda hawa kina Haniyeh na wote Mossad waliwauwa kwa mbinu kama hizo sema tu wengi humu enzi hizo mlikuwa hamjazaliwa na wengine mlikuwa bado ni watoto wadogo.
Nakumbuka alivyouwawa sheikh Yasin, zile shabaha sio za dunia hii
 
Back
Top Bottom