Mossad iliajiri afisa Usalama wa kikosi maalumu cha Jeshi la Iran RGC kutega bomu chumbani mwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh


View: https://x.com/Osint613/status/1820559690704486888
View: https://x.com/RenrawT/status/1820562080388296736
 
Chanzo Cha habari ni shibe ya ugali mkubwa na mbegu za ubuyu
 
Remotery Activated Boms zina hitaji Umeme_Bom lilikuwa linatumia Solar, Power bank au??😁
 
Uwongo mkubwa hakuna bomu lililotegwa nyie mnasikiliza vyombo vya Western sisi tunasikiliza waliokuwa katika jengo hilo. Wamarekani ni waongo na waliochonga huo mchongo ni maofisa wa wamarekani na ilipigwa kutokea nje sio ndani
Iran yahusika na unapaswa kuadhibiwa. Huyo amekata Qatar muda mrefu mbona hajauwawa? Iran na Israel ni ndugu wale. Mayaud wamejaa Iran. Napinga vita hivi kwa 1 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…