Mossad na jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu, Golda Meir ndani ya Rome

Hongera kwa simulizi nzuri mkubwa, uko sahihi sana! Mi niliisoma hii kwenye kitabu "The Gideon's Spies" kimeandikwa na Gordon Thomas!
Mkuu kama una softcopy ya kitabu hicho naomba ukitupie nikipakue, unapenda sana hizo story
 
waisrael watakuwa wana-apply nadharia iliyomo ktk the law of the jungle:

"when ye fight with a wolf of the pack, ye must fight him alone and afar,
Lest others take part in the quarrel, and the Pack be diminished by war".
YE " ndio nini?
Nyie ndio waleee akina KAOGE
 
YE " ndio nini?
Nyie ndio waleee akina KAOGE
dogo inaonekana kwa 100% lugha ya malkia imekupitia pembeni.

nina hakika wewe ni kilaza wa level ya juu hapa JF.

ngoja nikusaidie kidogo kuhusu maana ya "YE".
usipoelewa niite nije nikutafsirie kwa kiswahili.

"The history of the use of ye is complex. In the earliest period it was used only as the plural subjective form. In the 13th century it came to be used in the singular, equivalent to thou. In the 15th century, when you had become the dominant subjective form, ye came to be used as an objective singular and plural (equivalent to thee and you). Various uses survive in modern dialects".
 
Hiyo unaijuwa wewe na mwalimu wako aliyekufundisha ujinga.
 
Mkuu kama una softcopy ya kitabu hicho naomba ukitupie nikipakue, unapenda sana hizo story
Kaka kuna jamaa ameweka link ya "pdf" ukitaka kupakua hivyo vitabu kwenye "jamii intelligence"! Uzi wake unaitwa "KIDON, unawajua hawa"? Ingia hapo utaviona, "the gideons spies" na "War of Almagedon"
 
Kaka kuna jamaa ameweka link ya "pdf" ukitaka kupakua hivyo vitabu kwenye "jamii intelligence"! Uzi wake unaitwa "KIDON, unawajua hawa"? Ingia hapo utaviona, "the gideons spies" na "War of Almagedon"
Thax mkuu
 
Israel wamewekeza sana kwenye ishu za security kutokana na kuzungukwa na maadui wengi hasa arabs, ingawa wapo waisrael wengi waarabu.
 
Mossad ni habari nyingine kabisa na Israel survival yake pale middle east ni kwasababu ya super intelligence hebu fikiria kuna mji unaitwa sderot unapakana kabisa na Palestine ukingo wa magharibi huo mji uko Israel sasa serikali ya Israel inawatandikia mabomba kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji ili kupunguza unemployment kwa upande wa palestina sasa wao wanachofanya wanayakata Yale mabomba ya kumwagilia nyanaya waliyowekewa na serikali ya Israel wanatengenezea mabom na maroketi wanayarusha tena Israel yakifika Israel pale sderot yanadakwa na iron
Dome kwahiyo yanasababisha.madhara madogo sana Israel ni habari nyingine kabisa
 
Hizi mambo mie nazipenda sana aseee ndo maana kwenye Documentary channels sitokagi asee
 
Hawa jamaa wanatumia akili nyingi sana aisee Israel, unashindwa kuelewa jamaa wanajua juaje
 
Hawa jamaa wanatumia akili nyingi sana aisee Israel, unashindwa kuelewa jamaa wanajua juaje
 
mkuu hapa palinichanganya, je hao magaidi walipelekajwe LIBYA na wakati libya ni nchi ya kiarabu na tena ilikuwa ikiwafadili magaidi?
 
libya ilikua inamsapoti carlos kwa muda huo, baadae wakamtotelea nje kwa sababu sababu zao, nitaleta stoty za boudia mohamed boudia utaelewa.
 
Kaka kuna jamaa ameweka link ya "pdf" ukitaka kupakua hivyo vitabu kwenye "jamii intelligence"! Uzi wake unaitwa "KIDON, unawajua hawa"? Ingia hapo utaviona, "the gideons spies" na "War of Almagedon"
kidon ni wauaji wa hali ya juu"trained killers" hawa huwa wana fanya kazi kwa kusaidiwa na watu waliobobea kwa usafifiri wa pikipiki au gari, halafu kuna ambaye wako tayari wamewatayarishia sehemu yakufikia, kwa hiyo kidon wanawategemea sana timu husika, ikiwamo ya ufuatiliaji wa muhusika na watu wa mawasiliaino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…