Mossad, operation bayonet: Jinsi kisasi kinavyoweza kuwa njia bora ya kupata haki yako

Asante sana mkuu ... Mossad wapo vizuri sana ... Nilicho penda ni jinsi waliovokuwa wanapenya majengo na kutega mabomu bila kufahamika
 
Complex hawa Mossad si wamchezo mchezo mishen zao nyingi hua successful asante kwa kutupa ikisa sikua na kifaham kabisa
 
Operation hii pia ilipewa jina la Operation wrath of God.
 
Ni nzuri sana Asante
 
Baadhi ya makosa ya kurekebisha ambayo kwa haraka nimeyaona


Hawakuwa wanawauwa kila baada ya saa. Ila waliwashikilia wakiitaka serikali ya Ujerumani iwape usafiri wa Anga mpaka mahali walipotaka kutua (sikumbuki ni wapi nitapitia tena). Serikali ya Ujerumani ikawawekea mtego kujifanya imekubali na ndipo wakataka kuwakomboa airport. Jamaa waliposhtuka kuwa wamewekewa mtego ndio wakaua mateka wote.

Kumbuka PM Golda Meir alishatoa offer ya kufanya hiyo OP lakini Ujerumani wakaikataa. Ndipo mama akaamua kila aliyehusika lazima alambe mchanga!

Bi. Golde Meir
Ni Golda Meir



Hii haikufanywa na Polisi bali ni Special Force Ambush kwa ninavyokumbuka. Israel walitaka waifanye wao ila Wajerumani wakagoma. Sidhani kama Op hatari namna hii wangetumia Polisi. hata kwa akili ya kawaida tu haiji!



Katika taarifa hizo, Jina la ALI HASSAN SALAMEH likaibuka kama ndo mpangaji mkuu na mfanikishaji wa tukio hilo.
Salameh alikoswa mara moja baada ya kuonywa na CIA kwa kuwa alikuwa double Agent. Mossad wakaua raia waliyemfananisha (sijui walijichanganyaje, maybe kuna mkono wa CIA) na baadhi ya Agents wake walikamatwa na kushtakiwa.

mara ya pili wakamvizia Beirut alipokuwa anapita na msafara wake akalipuliwa kwa gari iliyotegwa barabarani ikiwa na mabomu.

Mengine nitapitia nikiwa na muda.

Japo umejitahidi sana kusimulia, ningeshauri upitie vyanzo vyako vizuri. Taarifa zangu ni kwa mujibu wa Documentary fulani inayomhoji Maj. Gen. Ahron Yariv
 
Mkuu umemsahau huyu jamaa
ABU NIDAL huyu aliuwawa mjini
Tunis mbele ya familia yake
na alipigwa risasi kama mia nane
Na mke wake mpaka leo hii
Amekaa kama mwehu kutoka na
Kushuhudia mmewe akiuwawa
Mbele yake huku wakichukua video
 
Mkuu umemsahau huyu jamaa
ABU NIDAL huyu aliuwawa mjini
Tunis mbele ya familia yake
na alipigwa risasi kama mia nane
Na mke wake mpaka leo hii
Amekaa kama mwehu kutoka na
Kushuhudia mmewe akiuwawa
Mbele yake huku wakichukua video
Sidhai kama kuna ukweli ktk post yako hii. kwanza risasi Mia nne ni nyingi sana. Na Mossad walikuwa wanatumia bastola maalum ambazo hazibebi risasi zote hizo. kwa hiyo walihitaji mzigo wa kubeba risasi ambazo ki operesheni si sawa. Katika operesheni kama hizi unataka uwe na almost nothing visible ili kuondoa suspicion.

Kuongezea katika operation impossibility ni kuwa huyo Jamaa alifia Baghdad na alikuwa sio Member wa BS.

"Abu Nidal, leader of a renegade Palestinian terrorist group responsible for a string of atrocities in the 1980s and 1990s, has died from gunshot wounds in mysterious circumstances in a flat in Baghdad, according to Palestinian and other sources. He was 65

A senior Palestinian official in Ramallah, on the West Bank, described the circumstances as "mysterious". The official said he had been told he had committed suicide but was unable to explain how this was consistent with a report that he had suffered three gunshot wounds.
"

Source: Mystery death of Abu Nidal, once the world's most wanted terrorist

Nadhani umechanganya mambo hapa. Abu Iyadi (Salah Khalaf alikuwa moja ya viongozi waandamizi wa Black September. Huyu ndiye aliyeuawa mjini Tunis. Hakuuawa na Israel bali na kundi la Abu Nidal.

"TUNIS, Tunisia — A turncoat bodyguard assassinated PLO leader Yasser Arafat's two senior deputies and a security officer Monday night at a house outside Tunis, Palestinian officials said. The killer held two relatives of one of the victims hostage for six hours before his arrest, they said.

A senior Palestinian commander in Tunis said the killer is a former member of Abu Nidal's terrorist PLO faction, sworn enemies of Arafat. But "we still don't know who he's working for," the commander said. "He may also be working for the Israelis."

The assassin, armed with an AK-47 assault rifle, took the hostages after killing Salah Khalaf, the Palestine Liberation Organization's second in command and its counterintelligence chief, who is better known by his nom de guerre , Abu Iyad; Hael Abdel Hamid, the PLO's security chief, known as Abu Loul; and Abu Mohammed Omari, Abu Iyad's aide, sources in Tunis said.

Six hours later, PLO guerrillas and Tunisian police stormed Abu Loul's house, where the shootings occurred, arrested the assailant and freed the two hostages--Abu Loul's wife and daughter--unharmed, the commander said
"
Source: Gunman Kills 2 Top Arafat Aides in Tunis, PLO Says : Terrorism: The slayer is described as a turncoat bodyguard. A security officer also is a victim.

Check vyema vyanzo vyako!
 
Kuna mmoja ninemsahau jina sikumbuki kama na yy ilikua ni black september ama la.

aliuliwa na sniper wa mossad aliyeubukia kutoka kwenye maji (baharini)maana nyumba yake ilikua iko pembezoni mwa bahari..

alikua na wenzake wanakula dinner nyumbani kwake, sniper akaibuka kutoka kwenye maji akampa za uso (risasi zilipitia dirishani) akazama akatoweka zake.

unakumbuka hili tukio??
 
Huyo wa juzi juzi tu 2008

"Israel’s naval commando unit shot and killed Muhammad Suleiman, a top military advisor to the Syrian President Bashar Assad in 2008, according to a leaked National Security Agency file, published by The Intercept. Suleiman was shot in the head and the neck, whist he was hosting a dinner party at his villa in the seaside Syrian city of Tartus. The Israeli commandos then proceeded to escape via the sea, the report stated, citing an internal document, which was obtained from the trove of files leaked by the former NSA contractor Edward Snowden.

The report indicated that the American intelligence agency knew about the operation after monitoring communications signals of the Israel Defense Forces. The file was classified as “SI,” meaning it was collected by signal intelligence.

“We’ve had access to Israeli military communications for some time,” the report cited one of the former US intelligence officers as saying. "

Hata hivyo ni vigumu kuthibitisha ukweli wake kutokana na kutoaminika kwa Snowden na pia sera ya Israel kutokanusha wala kukubali katika mambo ambayo Jeshi lake linafanya ambayo siyo "official". Kwa hiyo hii ni moja kati ya information ambazo naziita "Swallow at your own risk"
 
Hakuwa Black September member (2008)
 
wanatisha wapi,kila nchi ya ulaya na US wanawapa intel,we utashindwa ku-execute ukifikia hapo?!..CID bongo wenyewe wataweza
Utakuwa mweupe eneo hili boss. Au hata haujasoma post tangulizi?
 
Hata Yasser mwenyewe kuna conspiracy kwamba aliwekea polonium maana du last time anaondoka Palestina alikua ana busu mkono unatetemeka ni karibu dk2 kutoka mdomon had kupunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…