Mosses Phiri anachezeshwa ili kuwafurahisha mashabiki tu lakini inaonekana hatakiwi Msimbazi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kwa namna nilivyofuatilia suala la Mosses Phiri tangu awekwe benchi mechi ya Simba day mashabiki wamelalamika sana kwann hapangwi wakati anaonekana benchi, inakuwaje Bocco awe anacheza halafu Phiri ambaye tunamjua namna alivoibeba timu na kutufanya tupige saluti kila mchezo lakini hapangwi.

Baada ya makelele na presha kubwa Phiri akaanza kupangwa, lakn anapangwa muda mchache sana kuanzia dakika ya 80 na kuendelea, yaani Phiri sio chaguo la kwanza kwenye ushambuliaji, anaanza Baleke, anafuatia Bocco halafu Phiri, sijui Chilunda atacheza lini.

Ukifuatilia kwa undani utabaini kuna kitu kimetokea baina ya Phiri na uongozi, ni mchezaji wa ukweli lakini hathamini tena, sio mchezaji ambaye tunaweza kukaa na kusema leo ataanza, hapana, anachezeshwa ili mashabiki wasipige kelele lakini hapewi heshima anayostahili.

Hata kesho na Dodoma, anaweza kuingia cha 2 au msimuone kabisa.

Ndiyo soka letu hilo.
 
Lazima ufahamu Kocha wenu anapenda wachezaji wanao tumia mabavu na kukimbia uwanja mzima.
Kibu na Ntibazonkiza ndiye chaguo lake na kwenye kiungo Mzamiru na Kanute ao wengine wataingia ili mfurahi tu ila sio plan yake.
Ata uyo Ngoma pale namba sita anampanga kwasababu ya shinikizo tu ila si wachezaji wa type yake.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hayupo kwenye plan za kocha ni basi tu anatumiwa kama backup
 
Inaonekana mikocha ya Kibrazil ina ubishi na ujuaji wa kijinga sana. Nikikumbuka kisa cha beef la chini kwa chini kati ya kocha wa timu ya taifa Mario Zagalo vs Romario de Souza. Yaani ilifika kipindi wananchi na Rais wa Brazil wakaingilia kati kuhoji; kwanini kocha hajamuita Romario kikosini ilhali ni mkali na anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi? Na wakaenda mbali kutoa tamko "Kwa kumwacha Romario, ole wake timu irudi nyumbani bila kombe la dunia mkononi, kocha atakiona cha mtema kuni", bado Zagalo akawa mbishi, na bahati yake alirudi na kombe na akajiuzuru ukocha.

Sasa namwona Robertinho naye anatuletea yale yale ya Mario Zagalo.
 
Kwa namna nilivyofuatilia suala la Mosses Phiri tangu awekwe benchi mechi ya Simba day mashabiki wamelalamika sana kwann hapangwi wakati anaonekana benchi, inakuwaje Bocco awe anacheza halafu Phiri ambaye tunamjua namna alivoibeba timu na kutufanya tupige saluti kila mchezo lakini hapangwi.

Baada ya makelele na presha kubwa Phiri akaanza kupangwa, lakn anapangwa muda mchache sana kuanzia dakika ya 80 na kuendelea, yaani Phiri sio chaguo la kwanza kwenye ushambuliaji, anaanza Baleke, anafuatia Bocco halafu Phiri, sijui Chilunda atacheza lini.

Ukifuatilia kwa undani utabaini kuna kitu kimetokea baina ya Phiri na uongozi, ni mchezaji wa ukweli lakini hathamini tena, sio mchezaji ambaye tunaweza kukaa na kusema leo ataanza, hapana, anachezeshwa ili mashabiki wasipige kelele lakini hapewi heshima anayostahili.

Hata kesho na Dodoma, anaweza kuingia cha 2 au msimuone kabisa.

Ndiyo soka letu hilo.

Hiki ni Kiherehere...!

Acha Kiherehere Kibabage FC...Wahedi We..!
 
Soon ntaacha kushabikia simba
 
Inaonekana mikocha ya Kibrazil ina ubishi na ujuaji wa kijinga sana. Nikikumbuka kisa cha beef la chini kwa chini kati ya kocha wa timu ya taifa Mario Zagalo vs Romario de Souza. Yaani ilifika kipindi wananchi na Rais wa Brazil wakaingilia kati kuhoji; kwanini kocha hajamuita Romario kikosini ilhali ni mkali na anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi? Na wakaenda mbali kutoa tamko "Kwa kumwacha Romario, ole wake timu irudi nyumbani bila kombe la dunia mkononi, kocha atakiona cha mtema kuni", bado Zagalo akawa mbishi, na bahati yake alirudi na kombe na akajiuzuru ukocha.

Sasa namwona Robertinho naye anatuletea yale yale ya Mario Zagalo.
Kombe la dunia la mwaka gani hilo ambalo kocha wa timu ya Taifa ya Brazil Zagalo alimuacha kikosi Romario na akachikua na kombe la dunia ?
 
Inaonekana mikocha ya Kibrazil ina ubishi na ujuaji wa kijinga sana. Nikikumbuka kisa cha beef la chini kwa chini kati ya kocha wa timu ya taifa Mario Zagalo vs Romario de Souza. Yaani ilifika kipindi wananchi na Rais wa Brazil wakaingilia kati kuhoji; kwanini kocha hajamuita Romario kikosini ilhali ni mkali na anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi? Na wakaenda mbali kutoa tamko "Kwa kumwacha Romario, ole wake timu irudi nyumbani bila kombe la dunia mkononi, kocha atakiona cha mtema kuni", bado Zagalo akawa mbishi, na bahati yake alirudi na kombe na akajiuzuru ukocha.

Sasa namwona Robertinho naye anatuletea yale yale ya Mario Zagalo.
Mwaka 1994 Brazil bingwa Romario alikua ndani ya kikosi.
Mwaka 2002 Brazil bingwa,Romario hakua miongoni mwa timu, kocha alikua Luiz Felipe Scorali nadhani ni vema ukasahihisha jina la kocha uliyemtaja.
 
Inaonekana mikocha ya Kibrazil ina ubishi na ujuaji wa kijinga sana. Nikikumbuka kisa cha beef la chini kwa chini kati ya kocha wa timu ya taifa Mario Zagalo vs Romario de Souza. Yaani ilifika kipindi wananchi na Rais wa Brazil wakaingilia kati kuhoji; kwanini kocha hajamuita Romario kikosini ilhali ni mkali na anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi? Na wakaenda mbali kutoa tamko "Kwa kumwacha Romario, ole wake timu irudi nyumbani bila kombe la dunia mkononi, kocha atakiona cha mtema kuni", bado Zagalo akawa mbishi, na bahati yake alirudi na kombe na akajiuzuru ukocha.

Sasa namwona Robertinho naye anatuletea yale yale ya Mario Zagalo.
Check your facts Mkuu, kocha hakua Zagaro,
 
Phiri na Chama na Bocco hawapaswi kuwa Simba
 
Back
Top Bottom