Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Tembea tembea nje hasa hizi nchi za Kiafrika ndiyo utajua tofauti ya maisha yao na ya nchi yako.Siafiki apo Tanzania has to be #1 bhna
Nadhani Wakiweka Orodha Ya Wakwepa Kodi, Tanzania Ndo Itashika Namba Moja Maana Tanzania Ukitaka Kukwepa Kodi Jitengenezee Ufuasi, Then Jifiche Nyuma Ya Siasa Au DiniSiafiki apo Tanzania has to be #1 bhna
Subiri waje wakuulize source ya habari maana Tanzania haipo.
Your empty words mean nothing. Hatuwezi kuwa kwenye levo zenu, you and your fello naijas are the Champions,Tanzania ipo, ukifuata hiyo link aliyoweka jamaa. Lakini chan kushangaza mbona hizo tumbua tumbua hazifui dafu, kuna nini nyuma ya pazia. Maana index yenu mumeshuka moja, ina maana nyie ni mfupa uliomshinda fisi maana Magu anatumbua kila uchao lakini bado mafisadi mpoooooo.
Your empty words mean nothing. Hatuwezi kuwa kwenye levo zenu, you and your fello naijas are the Champions,
In fact it was supposed to be 1.Nigeria
2.Kenya
comparing tz with Kenyans is like comparing heaven and hell, Kenyans are thieves from the core.
Tunaweza do a case study of that SGR of yours. Kuanzia gharama za ujenzi wa reli hadi ununuzi wa locomotives (repainted Jurassic versions)..
Maaanina. Mtalipa hilo deni hadi mkome. Wajanja washawala.
View attachment 463859
weweeeeee.... pesa za tetemeko hatujatafuna... tuliwajengea wahanga ma-hospital, mashule, mabarabara n.kHaya mambo hufanywa kisayansi na sio dezo za kijiweni. Halafu kwa Tanzania wanaweza kuwa hawakupata data maana nyie hamfahamiki kwa lolote duniani zaidi ya milegezo ya bongoflavo. Lakini kwa tunaowafamu vizuri mlifaa kuwa top maana matapeli sana nyie.
Nchi mna kila aina ya raslimali lakini maskini wa kutupwa maana mnaliwa kwa ushirikiano wa baadhi yenu mafisadi. Wengine hamna hata huruma hela za misaada ya tetemeko la ardhi mlitafuna zote na kuwaacha wahanga wajijengee mabanda yao.