Most Generous Countries

Most Generous Countries

Freddie998

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
675
Reaction score
370
The Greatest East African Country tops in the African list
FB_IMG_15484287703589523.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni wakenya, sisi tuikuwa tunamhoji CAG wetu ili asitoe ripoti ya wizi wa 1.5T.
 
iko wapi Tanzania ya viwanda na wale economist wake..??
 
Dah, nchi yako iwe haijatajwa kwa orodha yote ya mataifa 143, lazima mtakua wachawi wenye roho mbaya sana. Hongera Wakenya wenzangu, ila pia huu ukarimu wetu ndio sababu tunajaziwa omba omba na jirani.

 
Kama ni generous kwa wazungu sawa tu, ila kwa wenzao wa africa hamna kitu
Wenzetu wafrika tunasaidia Sana , nchi ya Somalia ilipo poromoka Kenya ndio ilikua ya Kwanza barani kuwakaribisha wakimbizi kutoka Somalia na tumewapa hifadhi Kwa miongo miwili, lile janga la Kagera tulikuepo kuwapa msaada, wanafunzi wale walipo patwa na ajali tulikuepo kuwapa msaada isitoshe ombaomba wenu hapa tumewapa hifadhi na tuwapa ela kila siku ambayo inachangia pakubwa kuimarisha uchumi wenu ,Muwe na moyo wa kushukuru kaka zenu kutoka kasikazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni generous kwa wazungu sawa tu, ila kwa wenzao wa africa hamna kitu
Oh! Shout out!wakimbizi waliopo Kenya ni wazungu. Waliosaidiwa na damu baada ya shambulizi hivi majuzi ni wazungu.waliosaidiwa baada ya kuhiliki meli ilipozama nchi jirani ni wazungu.ombaomba kutoka nchi jirani ni wadhungu............................
 
There are some people who like to judge people by their physical appearance.more than once, I've come across this phrase 'roho mbaya kama sura zao' Ni mmoja tu awezaye kuangalia roho za wanadamu
Niliuliza ili mnisaidie kufafanua kuwa mnaposema Kenya ndio the most generous in Africa je generousity mmetumia kigezo kipi hapo kui define?

Kwanza alietoa hiyo orodha ana credibility yoyote?
 
Back
Top Bottom