Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Generosity means the willing to give or gerosity means "hospitality" or "unselfishness"How do you define generousity here please?
Tuanzie hapo kwanza.
To whom are you giving?Generosity means the willing to give or gerosity means "hospitality" or "unselfishness"
Sent using Jamii Forums mobile app
Generosity means the willing to give or gerosity means "hospitality" or "unselfishness"
Sent using Jamii Forums mobile app
The Greatest East African Country tops in the African listView attachment 1004710
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe kipindi hichi hata subutu kutoa maadam yule mwengine alifurushwa Kwa hivyo haupo radhi kwenda home.Hongereni wakenya, sisi tuikuwa tunamhoji CAG wetu ili asitoe ripoti ya wizi wa 1.5T.
Wenzetu wafrika tunasaidia Sana , nchi ya Somalia ilipo poromoka Kenya ndio ilikua ya Kwanza barani kuwakaribisha wakimbizi kutoka Somalia na tumewapa hifadhi Kwa miongo miwili, lile janga la Kagera tulikuepo kuwapa msaada, wanafunzi wale walipo patwa na ajali tulikuepo kuwapa msaada isitoshe ombaomba wenu hapa tumewapa hifadhi na tuwapa ela kila siku ambayo inachangia pakubwa kuimarisha uchumi wenu ,Muwe na moyo wa kushukuru kaka zenu kutoka kasikazini.Kama ni generous kwa wazungu sawa tu, ila kwa wenzao wa africa hamna kitu
Oh! Shout out!wakimbizi waliopo Kenya ni wazungu. Waliosaidiwa na damu baada ya shambulizi hivi majuzi ni wazungu.waliosaidiwa baada ya kuhiliki meli ilipozama nchi jirani ni wazungu.ombaomba kutoka nchi jirani ni wadhungu............................Kama ni generous kwa wazungu sawa tu, ila kwa wenzao wa africa hamna kitu
There are some people who like to judge people by their physical appearance.more than once, I've come across this phrase 'roho mbaya kama sura zao' Ni mmoja tu awezaye kuangalia roho za wanadamuHow do you define generousity here please?
Tuanzie hapo kwanza.
Niliuliza ili mnisaidie kufafanua kuwa mnaposema Kenya ndio the most generous in Africa je generousity mmetumia kigezo kipi hapo kui define?There are some people who like to judge people by their physical appearance.more than once, I've come across this phrase 'roho mbaya kama sura zao' Ni mmoja tu awezaye kuangalia roho za wanadamu
Chaliifrancisco acha kujitia hamnazo. Nilikuonyesha jibu LA swali lako.Niliuliza ili mnisaidie kufafanua kuwa mnaposema Kenya ndio the most generous in Africa je generousity mmetumia kigezo kipi hapo kui define?
Kwanza alietoa hiyo orodha ana credibility yoyote?
Haina daz mama la mama. Hizo vitu wala hazina impact yoyote ya maana zaidi ya mbwembwe tu.Chaliifrancisco acha kujitia hamnazo. Nilikuonyesha jibu LA swali lako.