most influential/important short courses for your CV

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
habari ndugu wenzangu,
niko kwenye mchakato wa kuchagua course fupi ili kuboresha CV yangu,kuna course hizi nafahamu ni nzuri na zinakurahisishia kupata nafasi ya kazi popote pale unapo-apply,tafadhali naomba muongezee hapo mbele kwa ajili ya watu wengine,na mimi pia nijue my next option

zilizo na dili kwa sasa ni;
SPSS(statistical package for social scientists)-UDSM,SAUT,anywhere else
ICDL(international computer driving licence)-UDSM computing centre
basic french-alliance francaise
TEOFL-british high commision
driving licence-any driving school
monitoring and evaluation-ms tcdc=arusha

natanguliza shukrani zangu
 
all accounting packages for accounts professionals
 
Hapa bila shaka unamaanisha TOEFL (Test of English Proficiency as a Foreign Language). By the way as long as English is a medium of communication in education then hii haina mshiko saaaaana.
 
kwa usawa wa mtanzania aliyesoma shule za kata na anayedaiwa ada ya chuo bado anaweza hayo m2 wangu?
 
nani kakudanganya kua hizo kozi zitakusaidia kupata kazi popote...?????? kazi ss hivi ni kujuana tuu, hata ukitaka soma kozi zote hizo ila kama huna mtu imekula kwako kijana....jipange upya...
 
Kama una bachelor ya compyuta au IT and the related Soma CISCO Packages, ISACA Packages eg CISA, ORACLE n. K
 
nani kakudanganya kua hizo kozi zitakusaidia kupata kazi popote...?????? kazi ss hivi ni kujuana tuu, hata ukitaka soma kozi zote hizo ila kama huna mtu imekula kwako kijana....jipange upya...

watu kama nyie kitaalamu mnaitwa WANYONYA NGUVU!
 
TEOFL-british high commision

Nadhani, inaitwa TOEFL. Hii inatumika kama assesment kujua uwezo wako wa kuiongea, kuiandika na kuisikia lugha ya kiingireza na huwa ni moja wapo ya vigezo vya kuweza kujiunga na vyuo mbalimbali in English-speaking countries.

I do not see how this test is a PLUS for your CV. Is it because you do an exam at British Council?
 
Hapa bila shaka unamaanisha TOEFL (Test of English Proficiency as a Foreign Language). By the way as long as English is a medium of communication in education then hii haina mshiko saaaaana.

Yeah, you better tell 'em!
 
Cv unaiboresha ili ukawe job seeker mzuri au job creator mzuri?
 
toelf is not gonna elevate your stuff, ina expiry date na ni muhimu kama unataka kwenda nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…