Most people are like Robots

Yaezakuwa nimeingia kimakosa kwenye thread special Kwa ajili ya watumwa/ PRISONERS!!

Mimi ni Mtawala not a prisoner.

I'm a son of GOD, the most high.

Good mornin!!
Do you understand something Called Hawthorne effect?
Hiyo ndo unayoielezea Wewe sahizi bila kujua Kwamba Ni just Set up
 
Baada ya yesu kuondoka,Bubble ikafungiwa ndani na warumi Kwa miaka mingi sana!

Baadae ikaanza kutafsiriwa Kwa lugha nyingi Duniani huku vitabu vingine vikiondolewa na hivyo viliondolewa kwa Kwa kupigiwa kura za ndio na hapana!

Kwahiyo tunavomuelewa Mungu ni tofauti Santa na yeye alivyotaka tumuelewe ndio maana contradiction za kutosha sana!!

Tuwe huru!
 
Kwann waliviondoa
 
Sir, have you ever used marijuana, do you still use it....... or what are your thoughts about this plant.
I discovered long ago that, it is the people with highly functioning endocannabinoid systems that stops and question mundane routines especially senseless ones.

When taken in extreme THC alows them to view, bathing, combing as useless senseless routines. Most people do not understand them. But I do.
 
Marijuana is not something I take, but I understand those who use it to become more antisocial and possess the ability to question things.

It's beneficial to question this daily routine because it ultimately consumes more of our time and appears as though we're solely here only to pursue money.
 
. You'll realize that. It's a choice! Not that they don't know what's happening. They do. "They" aren't stupid. It's the same choice as you thinking their lives are incomplete and purposeless
Exactly, we chooose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…