Most Pirated Films Ever

Hii hapa ndio list nilio download wiki hii:
  1. Sucker Punch
  2. Dylan Dog Dead of Night
  3. Kill The Irishman
  4. Source Code
  5. The Adjustment Bureau
  6. Take Me Home To Night
  7. Paul
  8. Limitless
  9. Hanna
  10. Priest
  11. N-Secure
  12. Cross
  13. Priest Of Evil
  14. Unknown
  15. Diary of a Wimpy Kid Rodrick Rules
  16. Mars Needs Moms
  17. Rango
 


Dah! X-P nina bahati saana, nilizo color ninazo kwa hio piracy at minimal....lol
 
3D wewe nakujua mvivu wa movies, ukipata ulotaka basi huna haja ya kumaliza
Alafu hio ya Potter sina wala sijaangalia, itabidi tu iwe yangu... au sio??? lol
Aisee hata mimi nilishtuka kumuona twin wangu hapa...lol

Yeah, Hii ya Potter kwa sehemu niliyoona imenivutia. Hawa wazungu bwana... acha tu....kila kitu kinawekwa kwa mpangilio mzuri. Tafuta uicheki. Nakupa kazi ya kuhakikisha unamleta twin wako mara kwa mara huku ili apunguze stress. huku hakuna mfumo dume... akina X-Paster wakifika huku mfumo dume wanauacha mlangoni.
 

Jamani jamani jamani....... mna moyo aisee. Hapo sijaona hata moja zaidi ya kusikia habari za Rango.
 
Aaaah kaka, mbona unanipiga madongo hivi hivi kakaa, jitahidi upate hiyo list hapo juu kakaa.
 
Reactions: 3D.
Dah! X-P nina bahati saana, nilizo color ninazo kwa hio piracy at minimal....lol
Ashadii, tafuta hiyo list, nakuhakikisha utafurahi, namba 11 hapo ni Black American movie ni nzuri pia.
 
Jamani jamani jamani....... mna moyo aisee. Hapo sijaona hata moja zaidi ya kusikia habari za Rango.
Mkuu, Rango ni animation movie, hawa jamaa hatuwapati kaka, wapo miaka 1000 plus mbele yetu, hatutawapata tena.
 


ha ha ha... umenifurahisha saana hapo juu.. Naona tayari kaingia... huku kuzuri atarudi tu!
Nitatafuta... tatizo saizi niko sehemu ambayo access ya usafiri ni biskeli...lol.. imagine a movie..
 
Kwenye hiyo list ya X-paster worthy movies ni Unknown na The Adjustment Bureau na Rango hizo nyingine zipo zipo.

3D Harry Potter visual effects zake zimetulia sana.
 
Reactions: 3D.
Well atleast nimeona baadhi hapa....hizo nyingine hazinishawishi!!Ukishaangalia utuambie ipi nzuri ipi uzishi!
 
Kwenye hiyo list ya X-paster worthy movies ni Unknown na The Adjustment Bureau na Rango hizo nyingine zipo zipo.

3D Harry Potter visual effects zake zimetulia sana.


Bana hio list kuna movie zimetulia hapo... kama Limitless,
sitakubali kabisa uongee vibaya kuhusu this movie..
Kill the Irish Man niliisikia from The Finest and he says its
a new release and good pia..

Ndoo maana 3D was able to finish the movie... (visual effects..)
 
Reactions: 3D.
Well atleast nimeona baadhi hapa....hizo nyingine hazinishawishi!!Ukishaangalia utuambie ipi nzuri ipi uzishi!


Umeona kua piracy ni kidogo katika hio list...lol
 
Kweli watu tuko tofauti hehehe, wewe ni mtu wa kwanza namsikia anasema Limitless ilikuwa nzuri...!! Ile movie nilishindwa kuielewa....!!

Effects za Harry Potter ni kiboko, Dark of The Moon nayo inakuja na effects za kufa mtu maana kuna part kuna jengo linadondoka zima zima baada ya kuangalia trailer nilirudi na kuliangalia kuhakikisha bado lipo lol.
 
Reactions: 3D.
Mbona hata mimi nilipenda LIMITLESS...ila kukufurahisha tu na kukurudisha kwenye mstari jana nimeangalia UNKNOWN na niliipenda sana.
 


Tatizo lenu wewe na 3D ni restless ... yaani naona you are poor company when
watching a movie... yaani mtu hana haja hata ya kuandaa popcorns becoz you
wont need them... lol

Alafu unapenda visual effects na unaona Limitless was not nice... how come??
 
Mie popcorns hazipandi lol labda uweke mabumunda lol... Anyway mie Limitless ilinishinda kuelewa inahusu nini asa... cheat your way to the top, its okay to be lazy since kuna magic pill that will boost your brain?
 
Mie popcorns hazipandi lol labda uweke mabumunda lol... Anyway mie Limitless ilinishinda kuelewa inahusu nini asa... cheat your way to the top, its okay to be lazy since kuna magic pill that will boost your brain?


Would take it any time... that clarity.. in a week i will speak
Chinese, Hungarian, Spanish, French let alone Chagga, Massai, Sukuma,
will be able to surf, will be a boss somewhere will be all that we dream of...lol

Alafu wewe mabumunda yaliwa asubuhi... umekula suppet
alafu uongeze bumunda... Niambie maybe karanga or korosho...lol
 
Hahaha mabumunda nimeyakumbuka kwa sababu nilikuwa napiga story ya primary school, nilivyokuwa darasa la tatu kulikuwa na mwalimu zile dakika 15 kabla hamjaenda mapumziko alikuwa analazimisha watu wanunue vitu alivyokuwa anauza.

The Next Three Days ya Russell Crow na Elizabeth Banks niliipenda sana, kuna mtu yoyote ameiona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…