Hahaha mabumunda nimeyakumbuka kwa sababu nilikuwa napiga story ya primary school, nilivyokuwa darasa la tatu kulikuwa na mwalimu zile dakika 15 kabla hamjaenda mapumziko alikuwa analazimisha watu wanunue vitu alivyokuwa anauza.
The Next Three Days ya Russell Crow na Elizabeth Banks niliipenda sana, kuna mtu yoyote ameiona?