Most Tz problem begin with letter P

Boflo your androgynous avatar is distracting me. nashindwa kujua kama nicheke au nishangae lol
 
Last edited by a moderator:
Duh... umeua wangu... vipi usharudi town??? Ee bana this weekens tutafutane Mtasha katia timu mwana!!!!

Cant wait to see him....
naomba nikuje jioni, afu nilikuambia uniombee namba za mjomba ake mbona hujanijubu???
 
but this is nice!! 🙂. kwa nini unadhani ni source of problem?
Labda kwa sababu kuna dada mmoja humu jamvini hapo jana alidai shoga yake amelegezwa misuli ya papuchi na njemba moja baada ya kushughulikiwa kwa usiku mmoja tu. Hahahahaaaaa
 
Labda kwa sababu kuna dada mmoja humu jamvini hapo jana alidai shoga yake amelegezwa misuli ya papuchi na jemba moja baada ya kushughulikiwa kwa usiku mmoja tu. Hahahahaaaaa
kazoea corolla, siku kapandishwa kwenye nissan patrol yakamshinda
 
kazoea corolla, siku kapandishwa kwenye nissan patrol yakamshinda
Ikabidi ishindwe na kutanuka na kusinyaa kama kawaida yake, mwisho ikabakia vile vile ikipiga mluzi kama anafukuza kwelea kwelea katika shamba la mpunga... LOL
 
pangwear
 
na pa stevoh jamani inakataaa sijui kwanin tena
 
Last edited by a moderator:
umeshaichukua ile picha ya Mtambuzi ngoja nimwambie mwenyewe naye, hivi unaujua wewe ni wapekee sana hivyo unakaribishwa kwenye shindano la kumsaka msanii bora wa chitchat 2013 tarehe 6/7/2013 litafanyika pale leo tupo hapa pub uwepo wako ni wa muhimu asana karibu sana bila ajizi na wimbo ni huu hapa anza kukariri 1. Ni wakati wa furaha, nderemo na vifijofijo,
wakati wa kujiachia kwa raha zetu,
tukumbukapo huko nyuma tulikotoka na cc jf
viongozi imara walishika hima, kuongoza cc yetu daima
na leo tuko pamoja tukifurahia, uwepo wako na jirani yako
wauonaje best, isingekuwepo chitchat ungemjuaje,
Invisible robot kaza buti mwana, kuimarisha na kuwapa ban
kwa wale wasio na walio wagomvi, wenye kuleta mafarakano
na malumbano yasiyo na msingi wowote, kazi kwako twakupa,

chorus: Tumekuweka mbele yetu, wewe shujaa kiongozi wetu,
endeleza mapambano dhidi ya wale wasumbuao wenzao
huimarishe cc yetu kwa upendo na furaha tele
nasi tufurahi na kuwa pamoja daima x2

2. Rafiki mpendwa wangu wa moyo, niliyekuchagua wewe pekee,
ona jinsi ninavyojitolea kukutumia pm nyingi kwa ajili yako,
Ninaacha kazi na shughuli zangu, nakaa na ipad, laptop yangu,
kukukumbuka na kuchat nawe, kila saa na kila wakati,
nionapo jinalako na avatar yako, macho hujawa na upendo mwingi,
na pale nikuonapo ukinicomment kwenye yangu post,
nabaki kujawa na furaha isiyopimika wala kuwa na mfano.
Napend unapoitikia wito wa kuwa karibu yangu, na kuniona wapekee,
Sina la cha kukulipa basi pokea upendo wangu kwako
By Mnama

Ikabidi ishindwe na kutanuka na kusinyaa kama kawaida yake, mwisho ikabakia vile vile ikipiga mluzi kama anafukuza kwelea kwelea katika shamba la mpunga... LOL
 
Last edited by a moderator:
my cousin naomba uanze kuandaa shindano la msanii, wimbo bora huko mwanza kwani tukimaliza dar tarehe 6/7/2013 tunahamia mwanza anza kutafuta member wa cc ili tuje huko kutoa award kwa yule atakayeshinda na wimbo utakao shinda mwambie Jiwe Linaloishi akupe njia za kufanya ili kuandaa kitu hicho. nakutegemea huko bestito
Yeeeeuuuuwwwiiiiiii.... Thi nilithahau thatha, ntakupa tukikutana hata mie ninayo!!!
 
Last edited by a moderator:
utakuwepo kwenye shindano la kumsaka mwimbaji bora wa chitchat 2013 na wimbo ndo huu anza kukariri1. Ni wakati wa furaha, nderemo na vifijofijo,
wakati wa kujiachia kwa raha zetu,
tukumbukapo huko nyuma tulikotoka na cc jf
viongozi imara walishika hima, kuongoza cc yetu daima
na leo tuko pamoja tukifurahia, uwepo wako na jirani yako
wauonaje best, isingekuwepo chitchat ungemjuaje,
Invisible robot kaza buti mwana, kuimarisha na kuwapa ban
kwa wale wasio na walio wagomvi, wenye kuleta mafarakano
na malumbano yasiyo na msingi wowote, kazi kwako twakupa,

chorus: Tumekuweka mbele yetu, wewe shujaa kiongozi wetu,
endeleza mapambano dhidi ya wale wasumbuao wenzao
huimarishe cc yetu kwa upendo na furaha tele
nasi tufurahi na kuwa pamoja daima x2

2. Rafiki mpendwa wangu wa moyo, niliyekuchagua wewe pekee,
ona jinsi ninavyojitolea kukutumia pm nyingi kwa ajili yako,
Ninaacha kazi na shughuli zangu, nakaa na ipad, laptop yangu,
kukukumbuka na kuchat nawe, kila saa na kila wakati,
nionapo jinalako na avatar yako, macho hujawa na upendo mwingi,
na pale nikuonapo ukinicomment kwenye yangu post,
nabaki kujawa na furaha isiyopimika wala kuwa na mfano.
Napend unapoitikia wito wa kuwa karibu yangu, na kuniona wapekee,
Sina la cha kukulipa basi pokea upendo wangu kwako
By Mnama

Ndio maana yake! he he he he
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…