mparestina
Member
- Jun 4, 2011
- 10
- 8
yaana kinachonishangaza,kila unayeongea naye,anasema mwaka wa tatu uciishe kabla cjapata mke/mme,sasa nashindwa kuelewa hv huko mtaan hamna wachumba,au ndio vyuoni kumegeuka kuwa INDUSTRY 4 Mariage?nisaidieni hl wasomi wenzangu.
Msomi mwenzangu tatizo lako ni nini? Si wao wamechagua ufikapo mwaka wa 3 wanafunga ndoa. Wataona mziki wake wakati huo wanatafuta kazi
Tunahitaji takwimu za walioowa na kuolewa 3rd year.vinginevyo hayo ni ya mtaani tu..........
kila mtu atatoka kivyake kama ulipata tabu wakati wa kutafuta kazi usidhani kuwa kila mtu lazima apitie njia ambazo umepitia wewe
kila shetania na mbuyu wake
Vifupisho vyenu bwana, mnamaliza stimu kabisa
Yaana kinachonishangaza, kila unayeongea naye, anasema mwaka wa tatu usiishe kabla cjapata mke/mme, sasa nashindwa kuelewa hv huko mtaan hamna wachumba, au ndio vyuoni kumegeuka kuwa INDUSTRY 4 Mariage?
Nisaidieni hl wasomi wenzangu.