Most watched music videos in Kenya 2015, ona mchuano wa Diamond and Ali Kiba

Most watched music videos in Kenya 2015, ona mchuano wa Diamond and Ali Kiba

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Gazeti la Business Daily/Magazine nchini Kenya limetoa orodha ya video za music zilizotazamwa zaidi mwaka huu.
ona diamond na alikiba walichovuna.
1. Nasema nawe- diamond
2. see you again- wiz khalifa
3. nerea - sauti sol
4. nana- diamond
5. post to be - omarion
6. bad blood - taylor swift
7. chekecha- alikiba
8. leon on - major lazer
9. sugar- maroon
10. baadaye - amos ft rabbit
 
Mchuano wa Wiz Khalifa na Diamond
 
We mkuu kuna watu unawachokoza si bure,mchuano gani huo wa mwenye nyimbo 2 ziko juu no 1 no 4 halafu huyo mwingine no 7.
 
We mkuu kuna watu unawachokoza si bure,mchuano gani huo wa mwenye nyimbo 2 ziko juu no 1 no 4 halafu huyo mwingine no 7.

Geuza simu/tablet/laptop....ndio wa kwanza awe Amos ft Rabbit.........
 
Imetoa tarehe gapi? Na hiyo nyimbo ya 'nasema nawe' iliimbwa lini?
Sio dharau ni vile mie ni mtu wa reggea.
 
Bila shaka zitakuwa ni nyimbo zilizotazamwa zaidi nchini Kenya, kwakuwa hiyo nyimbo ya wiz khalifa ina zaidi ya viewers billion 1. Wakati Nana ya bwana mkubwa Diamond ina km million 7.
 
Kumlinganisha Kiba na Mond ni kama kumchoresha tu Kiba wa watu. Mond bin Award ni homa ya dengue ama nene!
 
kwa kweli usimlinganishe Diamond na mambo ya kijinga
 
Back
Top Bottom