Mostly to Dadaz ( Blind date)

Uchumba wa siku hizi! yaani hujamuona ushajua kwamba ni wife to be?

Aaah sis Gaga, siku hizi kila kitu ni mtandao tu.., kama maduka yamehamia mtandaoni, ntashindwaje kumtafuta wa ubani mtandaoni??
 
Aaah sis Gaga, siku hizi kila kitu ni mtandao tu.., kama maduka yamehamia mtandaoni, ntashindwaje kumtafuta wa ubani mtandaoni??
Sikatai ila kufanya maamuzi ya kusema wafe to be hata kabla hamjaonana face to face hii ndio imenishangaza
 
Sikatai ila kufanya maamuzi ya kusema wafe to be hata kabla hamjaonana face to face hii ndio imenishangaza

Nachomaanisha ni kwamba, I luv her n kama we'll make it na tukaelewana then we may get goin kwa further notice.., hop u elewa me..))
 
Nachomaanisha ni kwamba, I luv her n kama we'll make it na tukaelewana then we may get goin kwa further notice.., hop u elewa me..))
Kwa hiyo ulijua unampenda kwa kuangalia picha na maongezi tu ya kwenye simu?
 
Mimi ni Mkaka. Kama huyo mdada ni mjanja na anajiamini basi hadi hapo ulipo umeshafail. Unataka kufanya maigizo ili kum-impress demu siku ya kwanza. Sasa baadaye itakuwaje? Just be yourself na usionekane kumtetemekea saaana! Fanya care ya kawaida tu kama kumsogezea kiti akae vizuri na mkikutana bar, ukiona wahudumu wa kike wanachelewa, nenda mwenyewe kachukue vinyaji ..........a a a ....hii hapana..... Bwana ee!... subiri majibu yao wenyewe.... Unajua hawana tabia za kufanana hawa viumbe. Wengine wanatakiwa washangae kwanza ndiyo wafall wakati wengine wanahitaji kuogopa ndiyo wafall.
Kuna mmoja huyo ilibidi nimshushe majivuno kwanza mbele wenzake ndiyo nikampata (Bahati mbaya hakuwa style ya kuoa...hivyo nilipotaka kuoa ilibidi nimkwepe nikaoe wa kuoa. Unaijua tofauti?).
hahahahaa.., KakaJambazi vp tena mkuu, ntashindwaje mjua jina wyf to be? jst nataka ni-reach her expectations...!
 
Bado sijafikiri cha kusema kwa sasa,nitarudi!
 
Personally, kwanza naangalia viatu, kisha nywele, pia naangalia sauti na na,na unavyo pronounce maneno. Intelligence na jinsi ulivyo mchangamfu na mcheshi.Ukiwa na shobo za kujimwagia misifa, kujidai na kuji mwambafy kwa kweli ntakuwa sina muda na wewe.
 
Hapo hapo,twende taratibu, viatu vina uhusiano gani na personality ya mtu?
 
Meipenda hii
 
Kwa hiyo ulijua unampenda kwa kuangalia picha na maongezi tu ya kwenye simu?

Nop, jst ni feelings tu, pia navyoongea nae huwa naona kabisa kuwa naongea na mtu anayejitambua na mtu ambaye yupo serious with what she believes.

Kaka asante, ofcoz I'l be myself broda..!!

Thnx NazJaz., wil do nidful on tht..!!

Mguu mkuu kuanzia namba tisa hivi, nafikiri anamaanisha hivo

Hmmm, ndo unamaanisha nini sis' Gaga? si unajua wengine mambo ya wahenga NIL....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…