Anataka uwachangamkie watoto wakewa kwanza kamaliza chuo mwaka juzi ila hana mishe yoyote, wa pili kamaliza chuo mwaka jana nae bado hajapata mishe za kueleweka..
HahaaMama wa miaka 60 ni mrembo??..amaizing
Ni kawaida,mbona Sara alikuwa na miaka 95,,na Abrahamu alipoenda nae Gaza,,mfalme wa Gaza,bwana Abu Malki,akamtamani na Kama sio kuoteshwa kuwa Sara Ni mke wa Abraham na sio dadake,Abu Malki angekula mzigo,kiroho Safi.Mama wa miaka 60 ni mrembo??..amaizing
anahitaji ujiongeze kwa mabinti zake huyo...wa kwanza kamaliza chuo mwaka juzi ila hana mishe yoyote, wa pili kamaliza chuo mwaka jana nae bado hajapata mishe za kueleweka..
Wewe mwenyewe je umemaliza darasa la ngapi?Wakuu shikamoon?
Nimepanga nyumba ambayo tunaishi pamoja na mother house ,huyu maza ni mtu mzima tu around 60+,anaishi na mabinti zake ambao ni warembo kama yeye, huyu maza tunaheshimiana sana.
Sasa among wapangaji wake walio single na mdogo kuliko wote ni mimi as wapangaji wenzangu wote wako 40+ na wako na familia zao,ametokea kuelewana sana na mimi kias kwamba ananitreat kama mwanae.
Changamoto iliyopo ni kwamba kila akiona nimeingiza totoz ghetto ananinunia..nashindwa kumuelewa.
So wakuu nifanyaje au nihame hapa?
Hilo nalo nenoisijekuwa ushalamba watoto zake halaf unajifanya kuwapotezea na kuingiza mademu wengine...