Polisi katika Kaunti ya Bungoma wanamtafuta mwanamke mmoja aliyewauwa watoto wake wawili na kisha kuwatupa katika bwawa la samaki.
=========
Now onto a some disturbing news, Police in Bungoma county are looking for a woman who allegedly killed her two children and dumped their bodies in a near by fish pond.