Mother, mother, why, why was I born Black?

Mkuu hapo lazima ujiulize duh jamaa analaani kuzaliwa black wakati wengine wanaulilia

Mi nakumbuka shairi bana America the cess pool

m

Lawino is a strange woman, she was lamenting about her husband who is educated and betrayed her, she want him accept all superstitious, customes, traditions etc

ocol is againt this intention.

Lawino is a strange woman, she was lamenting about her husband who is educated and betrayed her, she want him accept all superstitious, customes, traditions etc

ocol is againt this intention.

Umenikumbusha mbali sana mkuu
Songs of Lawino and Ocol
Siku hizi sijui kama wanavisoma tena hivi vitabu

Umenikumbusha mbali sana mkuu

Songs of Lawino and Ocol

Siku hizi sijui kama wanavisoma tena hivi vitabu

bado vinakamata chati ile mbaya, bado kinatisha.

nakupenda ivo ivo fb

nakupenda ivo ivo fb

ndo raha ya kuwa na mwanamke mwelewa, unanikubali kama nilivyo, mh sweetie bebie, lakini alieyatamka maneno hayo ni Ocol wa lawino.

Vibaya sana kaka vinakamata chati mbaya

Siku hizi hawavisomi tena

Unakumbuka the Beautiful One is not yet born

Kingine kinaitwa I will Marry When I want.

Vibaya sana kaka vinakamata chati mbaya

Siku hizi hawavisomi tena

Unakumbuka the Beautiful One is not yet born

Kingine kinaitwa I will Marry When I want.

Lakini hizi ni novel na plays za adavance,
Song of lawino bado kiko O level.

Kingine kinaitwa I will Marry When I want.

Lakini hizi ni novel na plays za adavance,
Song of lawino bado kiko O level.

Mkuu tatizo kwa sasa sijui kama wanavisoma kama kile cha Okonkwo sikumbuki title yake
na kile cha mmasai na elimu

Mkuu tatizo kwa sasa sijui kama wanavisoma kama kile cha Okonkwo sikumbuki title yake

na kile cha mmasai na elimu

cha okonkwo kilikuwa kinaitwa Things fall Apart
Mmasai na elimu/lerionka kinaitwa Is it Possible?

cha okonkwo kilikuwa kinaitwa Things fall Apart
Mmasai na elimu/lerionka kinaitwa Is it Possible?

We kweli una kumbukumbu
Mi sasa hivi nawaza sijui mabook gani nilisoma chuo na wapi huko na hapa kila siku lazima nipitie makaratasi kila siku hata huo uwezo wa kukumbuka sinao tena
Safi sana mkuu
Thing falls Apart like the situation we have now

Idea ya Mmasai inauliza if it is possible For a mmasai to hold book on left handside, stick at right hand side while his ears look forward at cattle. Is it possible.

Idea ya Mmasai inauliza if it is possible For a mmasai to hold book on left handside, stick at right hand side while his ears look forward at cattle. Is it possible.

Ukiangalia lengo la vile vitabu walikuwa wanafocus mbali sana wale watu na sio ile idea ya ukweli ya mmasai kushika fimbo on one side and book on the other hand and straight akiangalia cattle . Walikuwa na mengi sana ya kutufundisha ila ndo hivyo watu wamesoma kama hadithi na kuacha hapo hapo

hahahahahaaaaa!! Mr. Rocky bhana, unanipa raha balaa. Huyo ni Ocol wa Lawino.

kijana kavunja kwel kwel kanikumbusha zaman kweli kwel, nakumbuka mdomo wa lawino ukiwa na mke anamdomo mrefu ka wake mhhh ingawa alikua na logic ila mmmh

kijana kavunja kwel kwel kanikumbusha zaman kweli kwel, nakumbuka mdomo wa lawino ukiwa na mke anamdomo mrefu ka wake mhhh ingawa alikua na logic ila mmmh

Lawino alikuwa na logic ya kizamani bhana,
ila Ocol alikuwa wa kisasa zaidi.

Kabisa, do you think it is possible for a student today to learn effectively while engaging him/herself into prostitution, smorking, drinking etc?

Kabisa, do you think it is possible for a student today to learn effectively while engaging him/herself into prostitution, smorking, drinking etc?

Life has changed a lot
Wanafunzi wanaenda shule sijui kukua au kuona maisha yanaendaje
Ila ukweli halisi ni kuwa jhawawezi kufanya hayo kwa sasa
Tunahitaji juhudi za kisasa katika kufikia lengo la kuwafanya wanafunzi waelewe ni nini wanafanya shule

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…