Mother of The Year

He mtoto huyu aje akuwe na akili yake halafu aione picha hii atamuonaje mama yake!
 
amemthamini uyo mbwa anayemlambalamba kuliko hata mtoto wake, hana akili. mbwa ni mnyama mchafu ajabu, analamba uchafu wake na hapohapo anaenda kulambalamba miguu ya mwenye nayo, ndo maana kusalimana ovyo na mikono iliyolambwa na mbwa ni uchafu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…