Ulivyonza kujua kuongea (wakati huo una miaka 2 hivi), ulianza kuongea lugha gani? kwangu mimi nadhani hiyo ndio 'monther tongue' (kwa maana kuwa ndio lugha wazazi/walezi wako walikuwa wakikuongelesha) na pia ndio lugha yako ya kwanza kujua kuiongea. Hivyo, lugha ya kwanza na 'mother tongue' ni kitu kimoja tu.

Kitu gani kinacho kuchanganya?Sasa nachanganyikiwa
Mkuu malezo yak nimeyapata hasa lile kuseam lugha ya mma ni ile mtu unayotumia hata ukiwa unafikiria nahisi linaweza kuwa sahihi. Kuwa naweza kuwa mgongo lakini memory yangu inadecode na kurecall info kwa kiswahili then kuzitafsiri kama inabidiKitu gani kinacho kuchanganya?
Mkuu nashukuru kwa kunielewa, kuhusu hao wachangiaji wengine kuna msemo siku hizi unasema hivi "Akili za kuambiwa changanya na za kwako". Basi ushauri wangu ni kuwa chukuwa kile ambacho wewe unakiona kuwa kinafaa.Mkuu malezo yak nimeyapata hasa lile kuseam lugha ya mma ni ile mtu unayotumia hata ukiwa unafikiria nahisi linaweza kuwa sahihi. Kuwa naweza kuwa mgongo lakini memory yangu inadecode na kurecall info kwa kiswahili then kuzitafsiri kama inabidi
Sasa kuna maelezo ya wadau wengine naona yanachanganyana ila maelezo ya wadau wote yamenipa mwanga zaidi.
Hii ninaikubali zaidi kwa sababu unaweza kuwa na "mother tongue" kwa maana ya lugha ya mama kuliko lugha mama. Katika hali hii, hata lugha ya mama ikiwa huitumii kila mara, ulijifunza ukiwa na umri mdogo baadaye ukawacha kuitumia mara kwa mara, inaweza kuwa na athari ndogo kwako kuliko lugha ya kwanza, L1, ambayo unaitumia kila siku. Ama iwapo unatumia lugha mbili, ya mama na ya kwanza kwa uwezo ule ule hii inajulikana kama "bilingualism".mf.wazazi wangu ni wahehe na nikazaliwa,na lugha niliyofunwa kuaza kuongea ni kiswahili nilipoenda shule kiingereza na kihehe kidogo nimejifunzia ukubwani
nijuavo:mother tongue ni kihehe, ila first language ni kiswahili,kiingereza second language,kikorea third language nk