Mother tongue and first language whats the difference

First language sio lugha ulianza kuongea ya kwanza. Ni lugha ambayo unaifahamu kuliko zingine zote. Mother tongue ni lugha ya "kwenu".

Kwa hiyo mother tongue haijalishi kama unajiua au huijui ?
 
Mother tongue ni Rugha yako ya asili japo hauijuwi kuongeya ni kama vile mother land yaani kwenu kwa asili haijalishi kuzaliwa ama kuishi.first Language ni Rugha unayo ongeya kwa mapana zaidi kuliko zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…