Mother tongue teaser: Ng'ambo kikwenu mnasemaje kwa Kiswahili

Mother tongue teaser: Ng'ambo kikwenu mnasemaje kwa Kiswahili

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Kikwetu tunasema 'kwitongo' na 'pamwambo' hiyo ni Mbeya mixer Nyaluland.

Haya kikwenu ng'ambo kwa Kilugha chenu mnaitaje? Waliozaliwa mijini na hamjataka kujifunza lugha ya mama mtakuwa fans!

Tiririka mwanawane
 
Ng'ambo si ni Kiswahili tayari?
 
"Ng'ambo kikwenu mnasemaje kwa kiswahili"

Anza kutafsiri hapa kwanza mkuu.
 
Back
Top Bottom