Motivation Speaker: Technology ukiipatia unatoboa mazima

Motivation Speaker: Technology ukiipatia unatoboa mazima

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Ipo hivi

1. 10-20M/month
2. 80% - Profit Margin (kila elfu 10, elf 8 faida)
3. App/web in yako pekeyako
4. Bootstrapped
5. Uhuru wa kiuchumi

Hii inawezekana kufanyika hapa hapa Tanzania?

Nadhani hii ni applicable labda nchi za ulaya na US huku kwetu elimu ya tehama na matumizi yake bado
 
Hebu fikiria Angry Bird guys walishakata tamaa...
Mara paap ikainuka, tatizo no soko, kwa US pekee inatosha mtu hata haihitaji Europe wala Asia mtu mara multi millionaire
 
Ipo hivi

1. 10-20M/month
2. 80% - Profit Margin (kila elfu 10, elf 8 faida)
3. App/web in yako pekeyako
4. Bootstrapped
5. Uhuru wa kiuchumi

Hii inawezekana kufanyika hapa hapa Tanzania?

Nadhani hii ni applicable labda nchi za ulaya na US huku kwetu elimu ya tehama na matumizi yake bado
Ni kujua tu watu wanataka nini kuwapatia wanachotaka. Shida kubwa hapa TZ ni kujaribu kufanya au kucopy kile cha Marekani kukileta TZ.
We huoni Mange Kimambi kajua watu wanapenda umbea ngoja awe app ya umbea. Atakuwa anatengeneza hundred of millions kwa wmezi
 
Fafanua vizuri huu uzi, bado una kitendawili.

Aliye andika ni kama Taifa manyota ajui alicho andika hakieleweki.
Hii taarifa nimeiona reddit, kifupi opo ivi

Wewe ni developer umetengeneza website au application ambayo kwa mwezi unaingizaa milion 10 hadi million 20,

Kwenye million 10 faidi ni million 8, au kwenye million 20 faida ni million 16

Kampuni ni yako, hauna haya ya kugawana faida

==
Nilikua nahoji hii inawezekana kwenye mazingira haya ya kwetu??
 
Back
Top Bottom