Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Ni kujua tu watu wanataka nini kuwapatia wanachotaka. Shida kubwa hapa TZ ni kujaribu kufanya au kucopy kile cha Marekani kukileta TZ.Ipo hivi
1. 10-20M/month
2. 80% - Profit Margin (kila elfu 10, elf 8 faida)
3. App/web in yako pekeyako
4. Bootstrapped
5. Uhuru wa kiuchumi
Hii inawezekana kufanyika hapa hapa Tanzania?
Nadhani hii ni applicable labda nchi za ulaya na US huku kwetu elimu ya tehama na matumizi yake bado
Fafanua vizuri huu uzi, bado una kitendawili.
Hii taarifa nimeiona reddit, kifupi opo iviAliye andika ni kama Taifa manyota ajui alicho andika hakieleweki.