Motivational tips za Paul Mashauri Facebook kunani

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Aisee huyu jamaa huwa anatupatia malisho mazuri sana kwenye motivational tips zake kupitia facebook page yake ila kwa muda sasa Facebook page yake haipatikani hewani "kunani"?
 
Alidisco au tuseme tu Alinusurika kudisco mlimani 2005 tena kozi rahisi sana kwa ujinga ujinga tu!.. mjinga mjinga ila kama humjui utasema mtu wa maana
 
Umekariri kufaulu darasani ndo kipimo pekee cha kukuondoa kwenye kundi la wajinga eeh?

Wangapi wamefaulu na first class na bado ni zero tu mtaani! Kufaulu class ni muhimu ila sio kigezo pekee cha uimara wa akili yako
 
Kweli kabisa mkuu, sijui kwa nini watu huwa wanadhani kufaulu masomo ya darasani ndio mtu anakuwa smart. Nimesoma profile yake, the guy is so active na ndio kitu cha muhimu kuliko kuwa na lundo la vyeti halafu havikusaidii wewe wala jamii kwa ujumla.
 
Nimekwambia alifanya ujinga ujinga uliokaribia kumpa disco sasa badala ya kuuliza ujinga gani unajadili GPA. We kweli box
 
Kweli kabisa mkuu, sijui kwa nini watu huwa wanadhani kufaulu masomo ya darasani ndio mtu anakuwa smart. Nimesoma profile yake, the guy is so active na ndio kitu cha muhimu kuliko kuwa na lundo la vyeti halafu havikusaidii wewe wala jamii kwa ujumla.

Umesoma profile yake na ukampenda?..just profile tu?
 
Not just profile, nimekuwa nikimsikia muda mrefu ila nilikuwa sijamfahamu kuwa ni mtu wa aina gani, baada ya kuona profile yake nikagundua anafanya vitu vingi zaidi ya nilivyokuwa navifahamu. Halafu wapi nimesema kuwa nimempenda? Mimi nilikuwa na-argue point yako kuwa eti kwa kuwa hakufaulu vizuri masomo basi ni mjinga.
 
Wapi nimesema hakufaulu vzr? Acha kukurupuka?.. soma nimeandika. Jamaa hana vyote hivyo mnavyotaka kumpamba hapa.hata hivyo ujinga ujinga niliousema anao mpka kesho. Ukinizingua nitausema ili ukereke zaidi
 
Maana ya ku-disco nini kama siyo kutofaulu vizuri? Nani aliyempamba? Wewe ndio umeanza kumkandia kuwa eti alitaka ku-disco kwa hiyo ni mjinga mjinga. Hata ukiusema huo ujinga mi sitakereka ila inaonekana wewe ndie unayekereka na watu kumzungumzia huyo mtu.
 
Discontinue maana yake ni kutofaulu vizuri? Hicho tu ndo unachokifahamu? We kweli kilaza
 
Sawa mkuu mi kilaza, lakini najua mtu anakuwa discontinued kuendelea na masomo ya elimu ya juu baada ya kushindwa kufikia kiwango cha ufaulu kinachotakiwa, nashangaa wewe usiye kilaza unashindwa kuelewa hilo. By the way wewe ni hater na snitch, unasema eti utasema ujinga wa mtu wakati its non of your business!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…