3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Ongeza nyama mkuuJamukaya anaendeleza utajiri wa tabia za KISHIMBA international
Nimepita mida hii maeneo ya Vingunguti kuna moshi mkubwa sana angani ukitokea maeneo kilipo kiwanda cha jambo na watu wengi sana wafanyakazi na wananchi wengine wakiendelea kushuhudia kiwanda hicho kikiteketea kwa moto
Itakuwa mkuuView attachment 2633316
Ndo huo moshi ninaouona kutoka balcony ya kaghorofa kangu?
Usiongozwe na hisia hujajuwa ni Jambo ipi ushaanza uswahili make jambo ziko nyingi mkuu Kuna Jambo plastic Ile ya Wahindi ipo Vingunguti pia.Jamukaya anaendeleza utajiri wa tabia za KISHIMBA international
Jamukaya ndo yule nyoka mwenye sura nzuri?Itakuwa mkuu
Mkuu, Jamukaya si kipo nyuma ya Mwembeyanga au kipo kingine vingunguti huko?Jamukaya anaendeleza utajiri wa tabia za KISHIMBA international
Huo moshi wa sumu unaangamiza wengi hasa wagonjwa wasiojiweza kukimbia walio maeneo ya karibu na kiwandaMoto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki kiitwacho Jambo 11 kilichopo eneo la Vingunguti Jijini Dares salam na hadi sasa unaendelea kuwaka kiwandani hapo.
Juhudi za kuuzima moto huo ambao bado chanzo chake hakijajulikana zinaendelea
View attachment 2633409
Chanzo: MillardAyo
Safi sanaNimepita mida hii maeneo ya Vingunguti kuna moshi mkubwa sana angani ukitokea maeneo kilipo kiwanda cha jambo na watu wengi sana wafanyakazi na wananchi wengine wakiendelea kushuhudia kiwanda hicho kikiteketea kwa moto
===
Moto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki kiitwacho Jambo 11 kilichopo eneo la Vingunguti Jijini Dares salam na hadi sasa unaendelea kuwaka kiwandani hapo.
Juhudi za kuzima moto huo ambao bado chanzo chake hakijajulikana zinaendelea.