Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

Kwanini waanzishe chama? Kwani CCM ni wamoja kiasi hicho?

Kuna wanaolalamika sasa kama wana CCM?

Nani anayenufaika na haya yanayoendelea?
Whatever the case wote tunajua Samia atachukua fomu 2025 na hakuna mwingine atakayepewa. Sasa Kama kina Polepole na Bashiru wanajua Hilo (Maana 2020 pia walizuia wengine kupewa fomu) why wasianzishe chama?

Kulalamika huku unajua kabisa fate Yako ni kujidanganya. At least watoke kama Lowassa waitikise CCM sio mnalialia huku mmeng'ang'ania huko ndani matokeo yake ndio kudhalilishwa kama Ile Jana.
 
Kama mambo yataharibika saaaaaana [emoji1787]
 
Ndoto ya mchana
 
Muwe na Heshima wazee Ni hazina
Wazee wengine Kama Marop kuropoka kwao kwaweza leta bad image. Ni full uchochezi. Mzee ambaye Ni hazina lazima achunge ulimi wake kwa kila akiongeacho
 
Jana Kikwete kawaambia muache Uchimvi na Uongo;
Hapajakucha mmeshasahau ujumbe,
Kweli Chama cha Mambuzi
 
Rais Samia Suluhu anabusara za kutosha na ndio maana tuliona ametengua kauli ya yule mzee
 
Jana Kikwete kawaambia muache Uchimvi na Uongo;
Hapajakucha mmeshasahau ujumbe,
Kweli Chama cha Mambuzi
Hahahha watu wameshazoea kusema mambo waso na uhakika nayo lakini Kikwete alicho sisitiza ni kwamba 2025 hakuna mgombea mwingime zaidi ya Rais Samia Suluhu
 
Hahahha watu wameshazoea kusema mambo waso na uhakika nayo lakini Kikwete alicho sisitiza ni kwamba 2025 hakuna mgombea mwingime zaidi ya Rais Samia Suluhu
Imagine hao ndo wazee wa chama, alafu mtu aseme kuna democrasia ndani ya CCM mm nakataa.

Any way nimekumbuka tukiwa first year kuna recturer aliwai kusema tayar nishajua vijana wangu kazaa watakao faulu course yangu.

that means ni mwendo wa kupiga mstari tu wengine tukutane september.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna wa kumtikisa Mama ,kamuulizen yule andunje wa kongwa atakupa ushuhuda
 
Let us be serious huo muda huwa haufiki! Tangu 1995 hadi leo ni ile hadithi ya fisi kuusubiri mkono wa mlevi kuwa utadondoka!
Kama wewe Ni wa kijani na unanyonya wananchi unajifariji mkuu. Sembuse ccm isianguke. Unaipata Roman, ottoman,empire zilikuwaje na mwishowe wake ulikuwaje
 
Exactly. Hawa wananogesha genge tu, anayeweza kutoa amri kwa vyombo vya dola ndio mwenye maamuzi ndani ya CCM.
Kama kweli Jiwe alipotezwa na kundi fulani ndani ya Chama chake mwenyewe kama wanavyotuaminisha, ilikuaje basi Hilo kundi likafanikiwa wakati hawakuwa na Amri kwa Vyombo vya Dola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…