Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

Samia akigombea 2025.

Niite mbwa !!.
 
Kakojoe ulale. Tuko kwenye maandalizi ya kwenda kuosha macho kwanza nyuyoko wala hakuna kitu hicho.
 
Viongozi wasiokufa mapema na uchumi wa nchi. Viongozi wanaokufa mapema na uchumi wa nchi!!!.
 
Movie km movie zingne tu apo akuna jpy na akuna ktu kitabadilika
 
Samia akigombea 2025.

Niite mbwa !!.
Kwa mawazo Yako nani atamchallenge? Hivi unadhani CCM wanahitaji kiongozi imara? Unadhani kabisa watampitisha Majaliwa au Kabudi? Alafu watawezaje kuiba rasilimali?

Samia hatogombea only if upinzani utakua na mgombea imara mnoo ila sio sababu CCM wanataka kiongozi imara!!
 
TumainiEl si ndio yule jamaa aliyemtishia Ben Saanane.

Tunaomba kujua Ben mlifanya Nini!? Wewe na wenzako.
 

Mungu wangu! Umesoma chuo gani?
 
Hahahaaa. Tulia urambe dawa sw.ccm mbele kwa mbele
 
We mleta uzi msichana mvulana?unaletaje habari nyeti kama hivi unaandika andika kama unaleta habari za Zuchu na Dai?aisee next time hata kama unataka kutumia code andika vizuri huu uandishi unaleta mashaka sana
 
Mwenyekiti wa CCM ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania, ni mkuu wa nchi, ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Hakika utambue kuwa huko CCM hakuna yeyote anayeweza kumfanya chochote Samia. Akipenda atakushughulikia kama mwenyekiti wa chama, akipenda atakushughulikia kama amiri jeshi mkuu wa majeshi yote, au kama mkuu wa nchi.

Wanaoamua kuwa chawa siyo kwamba hawana akili bali wanajua kuwa kama wanataka kuishi na matumbo yao kwa kutegemea siasa, ni lazima waonekane kwa anayewawezesha.

Ni watu jasiri pejee, kama wale waliopo kwenye vyama halisi vya upinzani, na ambao maisha yao hayategemea teuzi au ajira ya Serikali, ndio wanaoweza kumkosoa Rais na wakawa salama, vinginevyo ni yeye Rais aamue tu kuwa muungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…