Hayo Mambo ya ajabu nchi nyingi zinafanya, lakini watajibaraguza na kujifanya kumheshimu sana marehemu, watampa tuzo za kutosha, na kumpamba kwenye magazeti, familia yake wataienzi, lakini kumbe ndio wahusika wakubwa.
Umewahi kusikia viongozi marekani wakimkejeli rais Kennedy, sasa hii mijamaa ni mitusi tuuuu.