chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Habari wakuu,
Kuna taarifa za moto kuwaka katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro muda huu, gari la kuzima moto limefika eneo la tukio lakini hawajafanikiwa kuuzima.
Inasemekana moto unawaka karibu kabisa na Hoteli ya Mhe Mengi.
Kama taarifa hizi zitathibitishwa basi Mungu atuepushie hili balaa na madhara yasiwe makubwa.