Habari wakuu,
Kuna taarifa za moto kuwaka katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro muda huu, gari la kuzima moto limefika eneo la tukio lakini hawajafanikiwa kuuzima.
Inasemekana moto unawaka karibu kabisa na Hoteli ya Mhe Mengi.
Kama taarifa hizi zitathibitishwa basi Mungu atuepushie hili balaa na madhara yasiwe makubwa.
Gari la zima moto moja!. Magari ya washawasha hayana idadi!.
Labda wapeleke na hayo magari ya washawasha yakasaidizane kuuzima!
Tuseme nini sasa?
Ni kweli endapo kama idadi ya magari ya maji washa yaliyonunuliwa mwaka 2015, ingekuwa ni magari ya zimamoto..... Tanzania tungekuwa mbali na moto kama huu ingekuwa ni jambo la mudamfupi kuuzima.
Tulitumia pesa ningi kununua magari ambayo hata hayafanyi kazi.
Habari wakuu,
Kuna taarifa za moto kuwaka katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro muda huu, gari la kuzima moto limefika eneo la tukio lakini hawajafanikiwa kuuzima.
Inasemekana moto unawaka karibu kabisa na Hoteli ya Mhe Mengi.
Kama taarifa hizi zitathibitishwa basi Mungu atuepushie hili balaa na madhara yasiwe makubwa.
Neno moja pia kwa Wale wanaojisaidia porin unawambiaje?Ndio maana mvua hazinyeshi. Binadamu tunaharibu mazingira kwa ajili ya kuwinda digidigi na sungura!!!!!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Tunaishukuru serikali ya awamu ya 5 kwa huu moto unaondelea kuwaka mlima Kilimanjaro. Hii inaonesha tumeingia uchumi wa kati haswaHabari wakuu,
Kuna taarifa za moto kuwaka katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro muda huu, gari la kuzima moto limefika eneo la tukio lakini hawajafanikiwa kuuzima.
Inasemekana moto unawaka karibu kabisa na Hoteli ya Mhe Mengi.
Kama taarifa hizi zitathibitishwa basi Mungu atuepushie hili balaa na madhara yasiwe makubwa.
Serikali ya awamu ya 5 haijaleta moto. Wapambane na hali yao...by the way tunaishukuru serikali ya awamu ya 5 kwa huu motoNakumbuka aina hii ya moto miaka ya 90.
Habari iakuwa na uzito zaidi ikiwa na picha.Habari wakuu,