Moto unawaka ndani ya Kiwanda cha Cotex cha Africana (Dar es Salaam)

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
276
Reaction score
473

Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu.

Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa mbalimbali kwa kutumia plastic pamoja na bidhaa nyingine.

 
Poleni sana.. mwisho wa mwaka majanga ni mengi mno
 
Duuuuu sasa wafanyakazi posho zao watalipwa lini tena???
Maana kuna wale vibarua wanaolipwa kwa week acha wale wa kulipwa kila siku na wale wa mwezi
 
Watu wameshalipa sana bila ya kujikinga na moto. Wanataka hela yao sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…