Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Kuna moto mkubwa umezuka katikati ya manispaa ya Tabora eneo la Salmini Toronto.
Kwa mujibu wa chanzo cha moto huo huenda ikawa ni hitilafu ya umeme kwa kuwa duka hilo lilikuwa la uuzaji wa vifaa vya umeme na nyumbani.
Kitengo cha Zimamoto kilifika kwa wakati ila bahati mbaya gari lilishindwa kuhimili. Wakaomba msaada kwa wenzao Wa Airport.
Bado moto ni mkubwa.