Moto unawaka Tabora Manispaa

Dr Restart

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
4,949
Reaction score
24,046
Kuna moto mkubwa umezuka katikati ya manispaa ya Tabora eneo la Salmini Toronto.

Kwa mujibu wa chanzo cha moto huo huenda ikawa ni hitilafu ya umeme kwa kuwa duka hilo lilikuwa la uuzaji wa vifaa vya umeme na nyumbani.

Kitengo cha Zimamoto kilifika kwa wakati ila bahati mbaya gari lilishindwa kuhimili. Wakaomba msaada kwa wenzao Wa Airport.

Bado moto ni mkubwa.

Your browser is not able to display this video.
 
Nilitegemea tuu lazima zimamoto watafeli, kama wangefanikiwa ingekua mshangao kwangu, na hapo ndipo utajiuliza ni kipi hufanywa kwa usahihi na hizi taasisi za kiserikali
 
Hao wananchi kwa wingi wao wangekuwa na nia ya kuuzima wangeuzima basi tu hawajapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…