Moto ushakolezewa petrol, je utafaa kuota ama utababua ngozi?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
4,009
Ni huko kanda ya kati Dodoma. Je watabakia? Baada ya kuambiwa wazi wasipitishwe wasije wakamotonaizi na kupetrolilaiz chama...watasepaaa ama watamyuti.
 
Kila nikiwaza, nakosa majibu! Je, atafanikiwa kwenye hii safari yake ya kututawala kwa mkono wa chuma, kwa vitisho na vichambo mpaka 2030? Au kuna jambo zuri litatokea hapa katikati?

Wataalam wa haya mambo ya siasa watakuja kunipa majibu sahihi bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…