BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kamel Beldjoud ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo amesema watu 24 walipoteza maisha kwenye eneo la El Tarf mpakani mwa Tunisia na vifo vingine viwili vikitokea Kaskazini mwa Algeria.
Taarifa zaidi zinasema hadi kufikia Agosti 17, takriban watu 350 walihamishwa kwenye Mikoa mbalimbali nchini humo ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza,
Algeria imekua ikikabiliwa na moto wa misituni kila mwaka, na chanzo kikitajwa kuchangiwa na Mabadiliko ya Tabia Nchi.
====================
At least 26 people have been killed and dozens more injured in forest fires that have devastated northern Algeria.
Kamel Beldjoud, the country's interior minister, said 24 died in El Tarf, near the border with Tunisia, as well as a mother and daughter in Setif.
Firefighters, supported by helicopters, were still trying to contain several blazes on Wednesday evening.
Reports say some 350 residents have been evacuated in various provinces.
Helicopters are using buckets to dump water on the flames.
Algeria suffers from wildfires every year, but the problem has been exacerbated by climate change.
A Russian water bomber plane chartered by the Algerian authorities has broken down and is not expected to be in service again until Saturday.
Source: BBC