Sasa unawezaje kudharau wakati hujui kama mgonjwa anajitibu au hajitibu?Kuumwa utaumwa ila usipojitibu ndo tutahoji utajiri wako
ttzo akil kisoda unahis huo moto wa vifuuHili jimbo si ndo walisema linauchumi mkubwa kuliko china, urusi, noth korea na nchi zote za mashariki. Wanawashindwaje kuzima kamoto tu matajiri kama hao.
duh akil za msahili hizTunadanganyana Wana technolojia ya Hali ya juu,moto tu wanashindana kuzima ,jje nuclear
fuatilia sio kila kitu ubishi , waafrika ndo wanaongoza kwa takwimu za kichwanCha kushangaza anayetoa izo tactics ni USA Calfonia hawezi kufikia uchumi Russia in reality acheni kukalilishwa
kawezaj kujisahihishia ?USA ni sawa na mwanafunzi anayefanya mtihani kisha akasahihisha yeye na kupanga matokeo yeye chumbani kwake kisha akayabandika shuleni. Alisema niwakwanza kwa uzalishaji wa mafuta ila kashindwa kuwasaidia ndugu zake hata pipa moja tu pale ulaya
Huyu ndo Mungu ninaejua mimi Sasa mwaka huu mashoga Maji wataita mma kila kona ni kichapo
Mungu hana muda wa kupotezaWewe mimi naamini ni Mungu wewe amini tabia za nchi full stop