The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
ama kweli CHADEMA imo mioyoni mwa watu. Hii ni Imani kamiliGT.
Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
View attachment 3388594
Sure na huo ndo kweli. Mtu akisikia no reforms moyo unadunda dundaama kweli CHADEMA imo mioyoni mwa watu. Hii ni Imani kamili
Hii habari HAIWEZI kuzima habari zilizo viral za komredis wa CCM wakichukua fomu za Udiwani na Ubunge!GT.
Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
View attachment 3388594
Haitolewagi ukumbuni hiyo, inatolewa kwa msajiri wa ndoa, is either kanisani or bomani. In other words, tayari certificate hiyo maharusi wanayo 😃 😀 😄 😁 🤣 😂Marriage certificate inaweza kuzuiwa si unajua inatolewa na serikali
Ahahahaaaa kwamba hawana vigezo vya kuoana?Marriage certificate inaweza kuzuiwa si unajua inatolewa na serikali
Aliyekwambia inazima habari nani?Hii habari HAIWEZI kuzima habari zilizo viral za komredis wa CCM wakichukua fomu za Udiwani na Ubunge!
🤣 🤣 🤣 🔊Hii habari HAIWEZI kuzima habari zilizo viral za komredis wa CCM wakichukua fomu za Udiwani na Ubunge!
🤣 🤣 🤣 🔊Ahahahaaaa kwamba hawana vigezo vya kuoana?
Mkuu hiyo ndio shida ya kuzuia shughuli za chama! Binadamu lazima apumue.Huu nao ni ubwege, yani Siasa mpaka harusini...🤣
Point NRNE lazima ipate sehemu ya kupumuliaMkuu hiyo ndio shida ya kuzuia shughuli zazlazima chama! Binadamu lazima apumue.NRNE
Hapo Mtaleta Nongwa Ile Yule Mnayesema Ameupiga MwingiHuu nao ni ubwege, yani Siasa mpaka harusini...🤣
Point NRNE lazima ipate sehemu ya kupumulia