Mimi nadhani hata kama mtumiji katumia kompyuta bado ukweli unabaki kampuni ya simu aliyotumia kuandika huu ujumbe :
- Ni Ya finland
- Kampuni ni ya nchi nyingine lakini mtumaji aliwai kujisali au kuishi finland. na hivyo kupewa number ya kifinish.
Wanaojua au ambao wametumia za huduma za kutumia sms kwa njia ya kompyuta watakuwa wanaelewa.
Wanaosema ni
ROAMING wajirizishe kuona ni vp roaming inafanya kazi. Mtumiji hawezi kufanya ROAMING kwa number ambayo haimiliki.
Number hii ingekuwa ni ya nchi kama
Norway ingekuwa rahisi sababu nimesoma watu wa norway number zao zote ziko online. tembelea
Telefonkatalogen™ - Persons
Yaani ukiwa norway kwa kujua number unaweza kujua inamilikiwa na nani au kwa jua jina unaweza kujua anamiliki simu numbe ngapi na anakaa maa gani. mhhhh Dah
Finalnd sio rahisi lakini kuna website ukitaka mora information kuhusu number fulani au mtu faulani unatakiwa ulipie.
http://www.phonebookoftheworld.com/finland/white-pages.asp
Naamini Taasisi kama TCRA wakiwasiliana na wenzao wa finland wanaweza kupewa ushirikiano na kutrace muhusika kirahisi. Mtu binafsi nadhani huwezi kupata response nzuri .
SWALI. hapa linakuja je TCRA wako tayari?Je hii inaweza kuwa issue ya
priority kwao kuifuatilia? Mpaka itokee kama yale yaliyotokea utamu the utamu ndo wanashtukaga na yenyewe zilipita kama siku tatu.
Otherwise Serikali iruhsu officialy watu wafungue
private companies za kfanya upelelezi kama ilivyo makapuni binasfi ya ulinzi. Ukiwa na issue "private "kama hizi na nyinginezo unawapelekea.
Itakuwa kichekesholakini siwezi kushangaa kampuni kama Group4 au Ultimate security kama wangeruhusiwa na wangekuwa na watu wangekuja na data kamili za number hiyo ndani ya siku mbili .